The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.
Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?
Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.