Serikali iangalie vizuri bajeti za matamasha na makongamano

Gharama za matamasha zinaendana na mahitaji halisi ya tamasha?


  • Total voters
    1

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
416
462
Wakati Tanzania tunakabiliwa na changamoto nyingi mno za kijamii, imezoweleka Sasa kuona Serikali ikifanya mikutano, warsha, na sherehe mbalimbali ambazo gharama zake ni zaidi ya umuhimu wake.

Gharama hizo zinahusisha na uhanasishaji, muda wa kutoa huduma kwa wananchi kwa vile maofisi yanakuwa rikizo kwa muda huo.

Fikiria uzinduzi huu wa Sensa tuuu unajumuisha viongozi wengi na wafanyakazi karibia wote wa Serikali waliopo Dodoma, fikiria wasanii walioburudisha na gharama zao, fikiria mafuta na mapambo ya ukumbi, angalia posho zilizolipwa kwa washiri kutoka nje wa Dodoma

Ni visima vingapi vya maji Safi vingeweza kuchimbwa? Ni madawati mangapi yangetengenezwa, ni madawa kiasi gani yangenunuliwa nk

Tutafakari shughuli zetu na kuwafikiria wananchi na matatizo tuliyonayo.

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom