Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo...
67 Reactions
405 Replies
45K Views
Kuna hofu kwa raia wazalendo kwamba kuachiwa na dpp watuhimiwa wa ufisadi kunakotokea sasa bila kuhusishwa mahakama huenda kukapelekea madai ya mabilioni toka hazina kuu ya taifa. Tuhuma...
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kutoka Iringa vurugu kubwa muda huu, Polisi wapiga mabomu ya machozi kutawanya machinga. Hii ni kufuatia machinga kurudi kwenye maeneo yaliyokatazwa kufanyia biashara. Hii imetokana na Machinga...
0 Reactions
244 Replies
30K Views
Friday, November 11, 2011 SOKO LA KIBAIGWA JEUPEEEE! [*=center]Friday, 11 April 2014 [*=center]Written by Mjengwa Blog [*=center]Email [*=center]Tuma Maoni [*=center]Share on facebookShare...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Watu watatu wazima wanaume wamevalia kofia za CCM na na picha ya mh Magufuli mfano wa Kitambulisho kila mmoja wanapita karibu na machinga hapa jariakoo jirani na sheli ya Big Bon. Kundi la...
43 Reactions
205 Replies
40K Views
Mheshimiwa Rais, mimi ni Mstaafu Serikalini. Niliitumikia Serikali kwenye Idara ya Afya kwa muda wa miaka 39 mpaka nilipostaafu mwaka 2019. Katika kipindi chote hiko, nimesaidia kuwalea Vijana...
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Baada ya mabomu kurindima siku nzima Jpili iliyopita katika jimbo la Iringa Mjini(Kwa mchungaji Msigwa) maeneo ya mashine tatu, leo Meya wa manispaa Bwana mwamwindi alifanya kikao na viongozi wa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu, Kama nilivyowajuza jana mkuu wa mkoa wa Mwanza anaendelea kulivuruga jiji baada ya kuwaambia machinga waliofukuzwa Makoroboi kwa mabomu warudi. Kutokana na ukosefu wa ajira machinga...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna mabomu yanapigwa eneoo la msikiti wa ijumaa Nyerere road hapa mwanza na watu wanatawanyika ovyo. Lakini watu wenyewe ni wachache sana tutawalete habari zaidi kuhusu tukio hili. Updates...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Ni bora niache kufikiri.,bora niache kutafakari maana kila ninapofikiri najikuta katika maumivu makubwa.,maumivu yanayotopokana na kuujua ukweli wa hali halisi ya maisha ya watanzania (mimi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo Septemba 17, 2021. Silima Juma Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi Wengine walioteuliwa ni Lt. Col...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm Mh.Paul Makonda,leo ametoa agizo na kuwapa "altimatum" viongozi na wakuu wa Wilaya za Dsm kuhakikisha ndani ya week moja,wamachinga wote waliovamia maeneo yasiyoruhusiwa kama...
5 Reactions
73 Replies
9K Views
Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika...
20 Reactions
83 Replies
8K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana Jumatano wakati ukitoa mwongozo kwa watendaji wako nilikusikia ukiwashauri wawe na siku moja ya kufunga mtaa ili wamachinga wafanye biashara. Nilijiuliza ni mtaa upi ambao hauna wakazi na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba niulize, kuna vigezo gani au taratibu gani za kufatwa ili kesi kuendeshwa live? Kama zipo ni kwanini Chadema wasipeleke maombi hayo ili kuonesha live uendeshaji wa kesi ya Mbowe ili umma...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Wanabodi, tunafahamu awamu ya tano iliunganisha mifuko ya pension nchini ambapo Mfuko wa LPAF ni miongoni mwa iliyoathirika na Hilo. Kutokana na Hali hiyo, Mfuko wa LAPF umejumuishwa katika Mfuko...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Huyu mama amekuwa na msimamo ambao umemfanya atofautiane na Katibu Mkuu wake Ndugu Seif. Katibu Mkuu wake huyo pamoja na kuwa na kesi ya jinai inayohusu ubadhirifu wa fedha za CWT Mahakamani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom