Rais Samia amedhihirisha kuwa CCM imefilisika sera Kama alivyosema Mwl.JK. Nyerere

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Mwl.JK.Nyerere ktk moja ya hotuba zake kuhusu Chama gani au Nani anafa kuchaguliwa kuwa kiongozi alituasa wana wa nchi ya Tanganyika kuto wachagua watu walio filisika SERA.

Nyerere anasema watu hao kwa kuwa hawana sera na Agenda za Maendeleo kwa wananchi, na wanajua kuwa hawakubaliki hutumia fyoko fyoko za kuwagawa watu.

Mtu anapo sema kuwa atachaguliwa uchaguzi ujao kwa kuwa yeye ana jinsia ya kike na anaomba watu wa jinsia yake wamuunge mkono ni fedheaha kubwa Sana kwa taifa Kama hili ambalo liliheshimika Afrika na duniani kwa ujumla.

Kama ameweza kueleza utopolo huu hadharani kwa watu wenye Akili tunaona hawezi kushindwa kuweka mtandao wa kuungwa mkono kidini, au kikabila kwa Wazanzibari wenzake wamuunge mkono kwakuwa Sasa wao wanatawala Watanganyika.

Ubaguzi wa namna hii haufai kufumbiwa macho Wala kuchekewa hata kwa sekunde moja na watu wenye Akili. Watu wenye Kariba ya namna hii hawashindwi kuwasingizia wenzao kesi za Ugaidi ili yeye na genge lake watawale kwa mabavu.

Mwenzio alituletea Mambo ya ukabila na ukanda na wewe unaleta Mambo ya kike kike. Wanaume huwa hatupendi Mambo ya kike kike sijui watupata uzuri bibie.

Haya yaliyo semwa na Rais yangesemwa na chama kingine fyoko fyoko zake zingekuwa si za kawaida. Mtu huyo angepimwa mkojo mpaka kupekuliwa nyumbani kwake kuwa anatumiwa na watu wasio litakia mema taifa hili.

Sisi wangoni toka Uhuru upatikane hatujawahi toa Rais mnaonaje na sisi Sasa tuweke agenda yetu kuwa uchaguzi ujao iwe jua iwe mvua Rais lazima awe Mngoni?

CC Mataga
 
Raisi Ajaye Ni Free Man Mbowe
Akipewa pesa atampisha hata Gwajima agombee, kikubwa account yake isome kwa faida ya tumbo lake na familia yake. Don't trust politicians wachovu kama hawa

images (7).jpeg

2878995_images_9.jpeg
 
Mleta mada unamzungumzia Nyerere huyu ambae Lisu alituambia kuwa aliishi kilaghai laghai au Nyerere yupi?
 
Siasa Sio Uwadui Sote Wa Tanzania Na Lengo Ni Kuijenga Tanzania Isiyo Na Matabaka Kama Mnavyotaka Ccm
Siasa ingekuwa sio uadui basi upinzani ungemuonya yule jamaa alietaka nchi yetu iwekewe vikwazo kwa sababu ya ugomvi wake na watawala. Fikiria wakiweka vikwazo ni watanzania wangapi wa hali za chini wakiwepo ndugu zake, ndugu zako na ndugu zangu wataumia?
 
Mleta mada unamzungumzia Nyerere huyu ambae Lisu alituambia kuwa aliishi kilaghai laghai au Nyerere yupi?
Jikite ktk umuhimu wa alicho ongea achana na hayo mengine.Ulaghai ndio sera mama ya ma CCM kama hujui ni hivi.
Wakati wa uchaguzi uliopita CCM walisema ukiwa na kitambulisho Cha Machinga unafanya biashara popote tuu na mkopo bank unapata.Lakini Sasa hivi wanasema wamchinga ni kero wanafanya biashara kiholela.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Una matatizo ya akili au uko timamu?
MSIGWA aliwahi kusema "Anaemuunga mkono Lowasa akapimwe akili". Baada ya miezi kadhaa viongozi wa Chadema akiwemo Msigwa mwenyew na hata ww unaeniuliza mimi mlimuunga mkono Lowasa katika uchaguzi mkuu. So kwa mujibu wa maneno ya Msigwa kati yang mimi na nyie Chadema ni nani mwenye kutakiwa kuwa na wasi wasi na akili zake!
 
Jikite ktk umuhimu wa alicho ongea achana na hayo mengine.Ulaghai ndio sera mama ya ma CCM kama hujui ni hivi.
Wakati wa uchaguzi uliopita CCM walisema ukiwa na kitambulisho Cha Machinga unafanya biashara popote tuu na mkopo bank unapata.Lakini Sasa hivi wanasema wamchinga ni kero wanafanya biashara kiholela.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wewe ndo hujui chochote mkuu, angalau ungesema kuwa ulaghai ndio sera mama ya wanasiasa wa Tanzania ningekuelewa kwa sababu hii. Mbowe aliwahi kusema kuwa anashangaa kuona wananchi wakiwachoma vibaka, huku wakimuacha fisadi Lowasa anadunda mtaani, lakini baadae katika kampeni za uchaguzi akasema anashangaa kuona wana CCM wakimwita Lowasa fisadi ilihali hakuwahi kufanya ufisadi katika nchi hii!
 
Usichanganye Mambo wewe usio muelewa, tuhuma hutakiwa kuthibitishwa ili mtu ahukumiwe.CCM wenyewe kutokana na uroho wa Madaraka ndio walio unda hizo tuhuma dhidi ya Mtakatifu Lowasa ili achafuke asiweze kupata Urais Kama walivyo unda tuhuma hizi za sasa za Mbowe kuwa gaidi ili kuogopa KATIBA mpya. Lakini nakwambia KATIBA mpya mtainya tuu tena kupitia matundu yoyote mliyo nayo mtainyaaaaa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mwl.JK.Nyerere ktk moja ya hotuba zake kuhusu Chama gani au Nani anafa kuchaguliwa kuwa kiongozi alituasa wana wa nchi ya Tanganyika kuto wachagua watu walio filisika SERA.

Nyerere anasema watu hao kwa kuwa hawana sera na Agenda za Maendeleo kwa wananchi, na wanajua kuwa hawakubaliki hutumia fyoko fyoko za kuwagawa watu.

Mtu anapo sema kuwa atachaguliwa uchaguzi ujao kwa kuwa yeye ana jinsia ya kike na anaomba watu wa jinsia yake wamuunge mkono ni fedheaha kubwa Sana kwa taifa Kama hili ambalo liliheshimika Afrika na duniani kwa ujumla.

Kama ameweza kueleza utopolo huu hadharani kwa watu wenye Akili tunaona hawezi kushindwa kuweka mtandao wa kuungwa mkono kidini, au kikabila kwa Wazanzibari wenzake wamuunge mkono kwakuwa Sasa wao wanatawala Watanganyika.

Ubaguzi wa namna hii haufai kufumbiwa macho Wala kuchekewa hata kwa sekunde moja na watu wenye Akili. Watu wenye Kariba ya namna hii hawashindwi kuwasingizia wenzao kesi za Ugaidi ili yeye na genge lake watawale kwa mabavu.

Mwenzio alituletea Mambo ya ukabila na ukanda na wewe unaleta Mambo ya kike kike. Wanaume huwa hatupendi Mambo ya kike kike sijui watupata uzuri bibie.

Haya yaliyo semwa na Rais yangesemwa na chama kingine fyoko fyoko zake zingekuwa si za kawaida. Mtu huyo angepimwa mkojo mpaka kupekuliwa nyumbani kwake kuwa anatumiwa na watu wasio litakia mema taifa hili.

Sisi wangoni toka Uhuru upatikane hatujawahi toa Rais mnaonaje na sisi Sasa tuweke agenda yetu kuwa uchaguzi ujao iwe jua iwe mvua Rais lazima awe Mngoni?

CC Mataga
Yeye mwenyewe Samier hana dira yoyote ya uongozi, anajiendea endea tu ili mradi siku zipite ifike 2025.

Ndio maana wahuni wanamuandalia events zisizo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom