Alhamisi iliyopita hadi Jumamosi, kqmpuni ya VIP engineering chini ya James Rugemalira na mwanasheria wake Dr. Cuthbert Tenga waliwaita wahariri kupitia Jukwaa la wahariri na kukaa nao Bagamoyo...
Wanabodi,
Salaam.
Hiki ni kisa cha kufikirika tuu cha mke mpumbavu aliyeitwa Zigo, na mume tajiri mwenye roho nzuri sana aliyeitwa Kibopa, ambapo waliishi kwa raha mustarehe kwenye jumba kubwa...
Leo DCI ametoa taarifa aliyoiita kuwa ni matokeo ya uchunguzi.
Kwangu mimi, na nadhani kwa Watanzania walio wengi, Polisi hawakuwa taasisi sahihi ya kufanya uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na...
Baada ya kesi ya Mbowe,utakua hivi.
Kesi hii itakapoisha vyovyote vile,iwapo Mbowe atafungwa ama atashinda,utakua hivi:-
Mbowe atakua mtu/mwanasiasa/mfungwa maarufu Sana hapa afrika baada ya...
Huyu kijana mdogo ni Wakili Msomi mgeni sana miongoni mwa Mawakili wanaomtetea Mbowe kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili , Mwaka 2020 aligombea Udiwani Kata ya Berege jijini Dodoma , Hoja zake za...
CCM YASHUSHA MAELEKEZO MAZITO BANDARI YA MTWARA
Ijumaa Sept 17, 2021.
"Pamoja na uwekezaji huu mkubwa wa takribani bilioni 158.8 za kuboresha bandari hii ya Mtwara ni ajabu haitoi huduma kama...
Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa...
MEYA RAIBU AFANIKISHA AJIRA KWA VIJANA WALIOTAPELIWA MOSHI, 60 WAANZA KAZI DSTV
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro
Mapema leo Mstahiki meya Wa Manispaa ya Moshi Mhe Juma Raibu amefanikiwa kuwasaidia...
Habari zenu wakuu?
Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.
Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.
Katiba yetu ya...
Hawa vijana wana umri,
kati ya miaka 18 na miaka 20.
Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka.
Swali langu ni kwamba,kwa nini.
Radia One wakubali kutangaza habari za namna...
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa...
Leo kesi imechelewa kuanza na pamoja na kuchelewa kuanza Jaji anaomba dakika 15 akajiridhishe na kutoa maamuzi baada ya utetezi kukataa kuhojiana na shahidi wa kwanza, lakini pia watuhumiwa kusema...
Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika...
JR is not stupid kama mnavyo fikiria
anazo paper trail ambazo zinaweza kuiangusha serikali. Na hapa siongelei email zilizokuwa humu JF kisha zikaondolewa. By paper trail nina maanisha nani...
Jana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi...
Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala...
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA...
Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta...
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.