THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,373
- 12,822
Friends and Our Enemies,
Hakuna mwalimu bora wa kipind chote kama muda,muda tokea zama na zama umekuwa ni mwalim shupavu Sana ambae anaweza kutoa elimu ambayo ikaeleweka kwa kila mwenye akili timamu bila ya kutumia NGUVU kubwa sana,
Bahati kubwa sana kwa kizaz hiki mwalim.mwingine ambae ameongezeka ni Teknolojia.
Pole pole,yapata miez sita hiv sasa baada ya msiba mkubwa kabisa kulikumba Taifa letu,msiba ambao ni vigum kuupokea lkn kwa kuwa safar hii ni yetu sote hatuna budi kuupokea na kuendelea na maisha,tupo kwenye foleni hakuna atakaebakia kwenye safar hii,
Pole pole,amekataa kabisa kukubaliana na hali hii kias Cha kupelekea kuongea vitu vinavyomfanya aonekane kama ni mtu ambae amerukwa na akili.
Amesahau kabisa miez sita iliyopita yeye na baadh wenzake ndiyo walikuwa watu special ambao wametengeneza kikundi Chao ambacho ni UNTOUCHABLE...NDAN NA NJE YA CHAMA.
Ukithubutu kukosoa au kuhoji maamuz yoyote ndan ya kikundi hiko basi utakiona Cha mtema Kuni,ni kikundi ambacho kilijivisha ngozi ya kondoo huku kikihubiri uzalendo na utiifu kwa kiongoz mkuu kwa asilimia mia moja,leo kiongoz wa kikundi hiko ambacho pole pole na wenzake walikuwa walinz wa legacy ile hayupo.
Kukosekana kwa kiongoz huyo pole pole na wenzake kama Cyprian musiba,makonda,Sabaya n.k hawaamin kuwa it's all over na wanashindwa ku move on na maisha ya kawaida.
Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba muda na Teknolojia vinawaumbua na kuwafanya waonekane vituko ndan ya ccm na nje ya ccm,kama hawakuweza ongea chochote kipind Taifa lipo kwenye majaribu makubwa hawawez eleweka wakijitokeza saiz na kuongelea mwenendo wa serikali ambayo wao wenyewe wameshiriki kuiunda na kuitetea.
Kinachomsumbua pole pole kwa sasa siyo uzalendo Wala uchungu wa nchi yake,kinachomnyima usingizi ni ile Hali ya kutoamin kuwa yeye si chochote Wala lolote katika serikali hii na kwamba hayupo Tena kwenye hiyo PARRALLEL STATE ambayo walishaitengeneza kuitafuna nchi hii.
Pole pole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu kwani siku zote sponsor nae hufariki.