Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema takribani watu 345,000 sawa na 34% ya chanjo zilizokuja wameshachanja. Msigwa amesema kazi kubwa imefanyika kuhakikisha watu hao wengi wamechanjwa na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi. Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm...
21 Reactions
99 Replies
50K Views
TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud...
21 Reactions
70 Replies
8K Views
Tupo busy tunajitia moyo "USHINDI NI NJE NJE" Kwa asilimia kubwa lengo la chama tawala ccm kupitia nyenzo zake yaani police na mahakama wamefanikiwa kwa asilmia 100% hadi tunavyoongea kuweka...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Sorry, naomba mwenye ideas anisaidie tofauti kati ya DC, DAS, DED kimajukumu lakini pia kila mmoja anawajibika kwa nani Ntashukuru
2 Reactions
3 Replies
11K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama...
1 Reactions
212 Replies
16K Views
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika Jiji la Mwanza wananchi katika Makazi ya sehemu Mbalimbali Nyakato,Nyamongoro,Kisesa,Buswelu,kishiri ,Igoma. Nyumba nyingi za Makazi hazijaunganishiwa Umeme kutokana na changamoto ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
17 Sept 2021 Special session | In memory of Benno Ndulu This WIDER Development Conference Special Session commemorates the life and work of Professor Benno Ndulu, Chair of the Board of...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
17 September 2021 Unguja, Zanzibar Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama tunavyofahamia nchi yetu ina ndege karibu 8 sasa pamoja na ile ya Rais. Je, Rais akiwa na safari ya kwenda nchi za mbali mfano Marekani, China, Korea, Uingereza anatumia hizi ndege zetu au...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga. Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema...
27 Reactions
51 Replies
5K Views
Yaani kesi za akina Seth, Ruge zimekuwa nyepesi kuliko kesi ya Mbowe au wanasiasa wa upinzani. Hii inamaanisha Africa viongozi wanajali maslahi yao zaidi kuliko ya wananchi. Ruge na Seth...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
CCM YASHUSHA MAELEKEZO MAZITO BANDARI YA MTWARA Ijumaa Sept 17, 2021. "Pamoja na uwekezaji huu mkubwa wa takribani bilioni 158.8 za kuboresha bandari hii ya Mtwara ni ajabu haitoi huduma kama...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Kesi si tatizo, ziliwahi kuwapo, zipo na zitakuwepo huku maelfu kwa maelfu wakifungwa na hivyo Mbowe ni binadamu kama hao Wala si Malaika, naye kufungwa si Jambo la ajabu lakini tuyatafakari haya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom