Hata kama ni kweli Boniface Jacob ndiye anayetuletea mtiririko wa kesi ya Mbowe kutokea mahakamani, kuna ubaya gani?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,309
2,000
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.

Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba kuripoti kesi ya Mbowe?

Mbona inakuwa nongwa?!
Inawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa

USSR
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,833
2,000
UVCCM acheni uvivu...mnasubiri Watz wengine waandike proceeding halafu nyie mje kubweka hapa. Mbona hambweki kuhusu Tozo, Bei ya mbolea, mafuta Kupika?

UVCCM tafuteni ushawishi kwa wananchi, acheni uvivu

Na nyie UVCCM nendeni mahakamani, mje kuandika proceeding, eboo. ! Aibu yenu
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,309
2,000
hahah mataga pori umeanza kuharisha damu mapema saana.

Sote tumesoma mtirirko wote wa kesi kuna maelezo ya mashahidi wenu feki na maelezo ya mawakili wa utetezi na wa jamuhuri.
Gaidi mbowe lazima ale miaka ya kutosha ili kupunguza ujuaji mahakamani na twita

USSR
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,309
2,000
UVCCM acheni uvivu...mnasubiri Watz wengine waandike proceeding halafu nyie mje kubweka hapa. Mbona hambweki kuhusu Tozo, Bei ya mbolea, mafuta Kupika?

UVCCM tafuteni ushawishi kwa wananchi, acheni uvivu

Na nyie UVCCM nendeni mahakamani, mje kuandika proceeding, eboo. ! Aibu yenu
Mbowe akitoka jera hayo matatizo yataisha

USSR
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,507
2,000
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.

Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba kuripoti kesi ya Mbowe?

Mbona inakuwa nongwa?!
Naona na ww ni kama Mahiya O Mahita. Unapata uhondo wa kesi ya kuchonga kupitia twitter ya kada wa CHADEMA.

Mungu ni mwema kila wakati.
 
Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
4,130
2,000
Lazima wafuatilie maana ndicho chama hai cha upinzani kilichobaki na chenye nguvu.
Wanafanya kila namna ili mradi waue upinzani.
Mbowe anatoka tena bila kuwa na hatia yoyote.
Eti Mbowe anakabiriwa na kesi ya ugaidi? Hizi figisu niliziona toka mwanzo kipindi cha uchaguzi na mikutano
CCM bila polisi ni wepesi km unyoya.
Ndiyo hayo hayo ya Rugamalila?
Hapo wanapandikiza chuki bila wao kujua wanafikiri Mbowe ni Chadema, wakimfunga Mbowe ndiyo wamemaliza kila kitu.
Kumbe na nyie maccm mnasoma proceedings
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,659
2,000
Inawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa

USSR
We ndio kilaza wa vilaza haswaa! Kuegemea upande mmoja vipi wakati mtiririko wa kesi ni maswali na majibu baina ya mawakili na mashahidi wa pande mbili! Au ulitaka upande wa pili waandike maelezo ya Mwendachato?! Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi! Nyau we!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom