Mawaziri na Wafanyakazi wanaodumu kazini ni wale wanaomsoma Rais yukoje na siyo wale wanaoisoma Katiba na Sheria

Kisanduku

Senior Member
Jul 9, 2009
182
250
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.

Hii maana yake nini.

Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje.

Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua anatakaje usihangaike kujua professìon yako au sheria inasemaje au katiba ya nchi inasemaje.

Ukiwa chini ya Magufuli hangaika kushangili kujifukiza na nyungu lakini Magufuli akifariki hangaika kuhimiza chanjo ya corona.
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,653
2,000
Mwanzo Hayanga aliamini atafuata utawala wa sheria na haki. Lakini kadri siku zinavyokwenda anashindwa hicho kitu na kuzidi kuona ukubwa na ufahari wa kile kiti alichokalia.

Hapo alimaanisha yeye ndie mwenye maono, ukienda tofauti na maono yake unaliwa kichwa, tushaanza kuskia raisi anatoa kiasi flani kwa ajili fulani, bado kidogo ataanza kugawa fuba mitaani kama mwendazake.

Muda utaongea.
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,674
2,000
Safi sana kwa andiko lako.

Wale wanao washambulia mawaziri au viongozi flani kuwa walikuwa au wanalamba miguu hili bandiko linawahusu.

Ndiyo maana yule jamaa Sabaya alisema "yote aliyokuwa anafanya aliagizwa..." Leo binadamu wanatupa lawama ovyo ovyo!.

Kuna mtu atasema "kwa nini ukubali kutumika?"
 
ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,307
2,000
images (2).jpeg
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,565
2,000
Ana vision gani? au ndo anakamilisha muda wa hayati, ninachoshuhudia hapa ni kunyang'anya wanyonge vijisenti vyao kwa kisingizio cha zahanati 255 na madarasa 500.
 
Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,659
2,000
Lazima uzingatie sheria na kuganya anachotaka au anachopenda aliyekuteua.

Lazima, kuna watu Wa mwendazake hata kutamka mega watt walitamka meaga wett kama alivyotamka bosi wao.
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,296
2,000
Mwanzo Hayanga aliamini atafuata utawala wa sheria na haki. Lakini kadri siku zinavyokwenda anashindwa hicho kitu na kuzidi kuona ukubwa na ufahari wa kile kiti alichokalia.

Hapo alimaanisha yeye ndie mwenye maono, ukienda tofauti na maono yake unaliwa kichwa, tushaanza kuskia raisi anatoa kiasi flani kwa ajili fulani, bado kidogo ataanza kugawa fuba mitaani kama mwendazake.

Muda utaongea.
Wengine tulioona mbali tukasema ule ulikuwa mwanzo tu..maana alishtukizwa urais. Hakujiandaa, hakuwahi kuchukua hata fomu kaama kina asharoae migiro na balozi amina, hakuwahi pengine hata kuuwazia.
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
8,565
2,000
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.

Hii maana yake nini.

Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje.

Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua anatakaje usihangaike kujua professìon yako au sheria inasemaje au katiba ya nchi inasemaje.

Ukiwa chini ya Magufuli hangaika kushangili kujifukiza na nyungu lakini Magufuli akifariki hangaika kuhimiza chanjo ya corona.
Iko wazi
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,653
2,000
Wengine tulioona mbali tukasema ule ulikuwa mwanzo tu..maana alishtukizwa urais. Hakujiandaa, hakuwahi kuchukua hata fomu kaama kina asharoae migiro na balozi amina, hakuwahi pengine hata kuuwazia.
Kabisa mkuu mimi sikuwaza hayo, kumbe kweli ule ulikua mwanzo tu.

Na nadhani mwanzo kweli aliahidi toka moyoni ila sasa madaraka yashamlevya, hakuna anabadilisha ni yeye tu anabadilika kwa nguvu aliyonayo.
 
Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,192
1,500
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.

Hii maana yake nini.

Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje.

Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua anatakaje usihangaike kujua professìon yako au sheria inasemaje au katiba ya nchi inasemaje.

Ukiwa chini ya Magufuli hangaika kushangili kujifukiza na nyungu lakini Magufuli akifariki hangaika kuhimiza chanjo ya corona.
Dah kutakuwa na maendeleo ya Kweli hapo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom