Wito wa Shigongo wa Vijana wa UVCCM

Sir Lindege

Member
Sep 10, 2013
34
150
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu zote.

Msiposema nyinyi watasema maadui zetu, ambao kamwe hawatasifia isipokuwa kuwaaminisha watu kwamba hakuna kilichofanyika. Vjana wa CCM jielimisheni, fanyeni utafiti Kisha muingie kwenye mijadala na mjenge hoja za nguvu kwa kusema ukweli dhidi ya upotoshaji.

Kila kijana wa CCM atafute askari 5-10 waaminifu wa mtandaoni (online soldiers) watakaojitolea kupigania CCM na serikali yake mitandaoni ambako ndiko hasa vita ilikohamia, huko ndiko watu walipo na adui analifahamu hili na anapigana kufa ma kupona, sisi tumetulia ama tunapigana mmoja mmoja kinyonge!

Hapana, sasa imetosha! Vijana wa CCM mna nguvu kubwa, unganeni, pambaneni kwa maslahi mapana ya taifa letu:hii ni dhamana ambayo Chama chetu kimekabidhiwa, mna wajibu wa kulinda taifa hili, TETEENI CCM NA SERIKALI YAKE KWA NGUVU ZOTE, BILA HOFU WALA VURUGU BALI KWA HOJA!

CCM OYEEEEEE!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Together we strong,

Separated we're WEAK!

~Eric James Shigongo.
 
Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
1,796
2,000
Habari nzuri sana toka kwa Mbunge Shigongo. Vijana wa CCM jitokezeni kwenye ma twitter spaces jibuni hoja toeni michango yenu itasikika kwa ukubwa uleule wanaoutumia wapinzani.

Dunia ya teknolojia discussion zimehamia online kiganjani. Msitumie dola kuja kupigisha watu mikwara na kukamata jibuni hoja vioja waachieni wenyewe.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,463
2,000
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu zote.

Msiposema nyinyi watasema maadui zetu, ambao kamwe hawatasifia isipokuwa kuwaaminisha watu kwamba hakuna kilichofanyika. Vjana wa CCM jielimisheni, fanyeni utafiti Kisha muingie kwenye mijadala na mjenge hoja za nguvu kwa kusema ukweli dhidi ya upotoshaji.

Kila kijana wa CCM atafute askari 5-10 waaminifu wa mtandaoni (online soldiers) watakaojitolea kupigania CCM na serikali yake mitandaoni ambako ndiko hasa vita ilikohamia, huko ndiko watu walipo na adui analifahamu hili na anapigana kufa ma kupona, sisi tumetulia ama tunapigana mmoja mmoja kinyonge!

Hapana, sasa imetosha! Vijana wa CCM mna nguvu kubwa, unganeni, pambaneni kwa maslahi mapana ya taifa letu:hii ni dhamana ambayo Chama chetu kimekabidhiwa, mna wajibu wa kulinda taifa hili, TETEENI CCM NA SERIKALI YAKE KWA NGUVU ZOTE, BILA HOFU WALA VURUGU BALI KWA HOJA!

CCM OYEEEEEE!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Together we strong,

Separated we're WEAK!

~Eric James Shigongo.
Mkuu zile hela za kofia na fulana zilizokutoa machozi hadharani ulilipwa ?
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,663

Kidumu kwani kizima bado?
 
mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,384
2,000
Kupigania dhuluma,wizi, uongo na unafiki inahitaji mshipa wa aibu uwe umekata. Kimsinga sio kwamba CCM haina vijana wa kukipigania chama ila tatizo ukiangalia uhalisia wa maisha watu wanaofaidika na mfumo wa chama ni wachache
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,216
2,000
Wasisahau na kuwaonya viongozi wao dhidi ya madhila kwa Watanzania, pia kuwakumbusha hitaji muhimu la Katiba. Haya Mambo ya zamu za Wanawake yataharibu zaidi umoja na ustawi wa taifa letu.
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,018
2,000
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu zote.

Msiposema nyinyi watasema maadui zetu, ambao kamwe hawatasifia isipokuwa kuwaaminisha watu kwamba hakuna kilichofanyika. Vjana wa CCM jielimisheni, fanyeni utafiti Kisha muingie kwenye mijadala na mjenge hoja za nguvu kwa kusema ukweli dhidi ya upotoshaji.

Kila kijana wa CCM atafute askari 5-10 waaminifu wa mtandaoni (online soldiers) watakaojitolea kupigania CCM na serikali yake mitandaoni ambako ndiko hasa vita ilikohamia, huko ndiko watu walipo na adui analifahamu hili na anapigana kufa ma kupona, sisi tumetulia ama tunapigana mmoja mmoja kinyonge!

Hapana, sasa imetosha! Vijana wa CCM mna nguvu kubwa, unganeni, pambaneni kwa maslahi mapana ya taifa letu:hii ni dhamana ambayo Chama chetu kimekabidhiwa, mna wajibu wa kulinda taifa hili, TETEENI CCM NA SERIKALI YAKE KWA NGUVU ZOTE, BILA HOFU WALA VURUGU BALI KWA HOJA!

CCM OYEEEEEE!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Together we strong,

Separated we're WEAK!

~Eric James Shigongo.

Nyoooo Subutu awaulize buku 7 kama wana hamu tena
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,564

Kunywa Maji mwanangu
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,564
2,000
Mkuu zile hela za kofia na fulana zilizokutoa machozi hadharani ulilipwa ?
Hakulipwa ila kuna namna walimpoza poza. Mpuuzi huyo alikuwa anatudanganya na porojo zake za ujasiliamali kule Dar Live Mbagara kumbe ni fisadi mmoja wa ccm
 
G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
769
1,000
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu zote.
Kuutetea wizi ni kazi Sana.

Kodi tunalipa halafu serikali inaanzisha wizi wa mchana kwa kuleta tozo. Hela zetu tulizokwisha katwa kodi zinakatwa tena. Nani ana ubavu wa kuuteta wizi huu?
 
Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
338
500
Eric Shigongo ni nani,mi namfahamu kama mwandishi wa fasihi labda fasihi za mapenzi. Sasa mtu mmoja anasema kamata wahalifu katika mitandao,mwingine anasema tuigeukie mitandao. Yaani anataka kuleta dramatics.
Mungu aiepushe UVCCM na washauri kama hawa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom