Kwa wale waliyofuatilia siku January Makamba alipokuwa akitangaza nia alisema Tanzania hainufaiki na gas na haitanufaika na gas ndani ya miaka 20 ijayo! Katika hotuba yake aliianisha vyanzo vyote...
Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa.
Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa...
- Asema Katika huu mwezi mmoja wa maandalizi ya Kuwapanga Machinga ni vyema Kampuni hizo zikafnya sensa ya wateja.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Kampuni zote...
1. Tatizo la umeme - Palikuwa na sababu gani ya umeme kukatika katika wakati walipotumbuliwa tu vigogo wa TANESCO tatizo likaisha.
2. Kulikuwa na tatizo gani mradi wa Udart- sahivi magari yapo ya...
Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida.
Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji...
Ni wakati gani ambapo mahakama ya kimataifa ya ICC huwa ina uwezo wa kuingilia taifa lingine na kutoa waranti za watu kukumatwa na kuwafungulia kesi?
Baadhi ya wa Kenya, Congo, Sudan n.k wamewahi...
Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii?
Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu...
Rais Samia amelitaka Kanisa la Anglican kuhakikisha linawasaidia Wanawake kupata haki zao za msingi na yeye Rais atalisimamia hilo na anamuomba askofu mkuu baba Mndolwa amsaidie katika hilo.
Rais...
Limeisha. Mshindi amekuwa Askofu Gwajima. Pascal Mayalla kwa mara nyingine tena amepigwa KO. Nakumbuka alivyokuwa akishadadia Gwajima afukuzwe ili yeye Pascal arudi tena kwenda kuomba Kura katika...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022...
Nimekuwa nikitafakari ile kauli ya viongozi kwamba maendeleo yanapelekwa kwa usawa katka mikoa yote bongo lkn naona Kanda ya Ziwa Magharibi imeachwa mno haswa katika taasisi na miundombinu Kama...
Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji...
Makamu wa Rais Bwana Philip Mapango wakati akimpokea SSH alisema kuwa alipata hofu alipo achiwa nchi kwa siku hizo chache lakini anashukuru SSH amerudi ameutua mzigo.
Wengi wanamlaumu Makamu wa...
Na. Mwandishi wetu.
Kada wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye kwa nyakati tofauti amepata kuwa mwenyekiti wa mkoa wa wa Arusha chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA na baadae kutimkia ACT...
Currently, India is the largest exporter of Tanzanite stones peaking at more than $300 million, followed by Kenya at $100 million and Tanzania at $38 million. Globally, the tanzanite trade earns...
Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk
Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki...
Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia.
Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere...
Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili.
Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo...
Rais Samia wakati akiongea na viongozi wa Tamisemi amesema masoko mapya mengi hayana wafanyabiashara wa kutosha hasa yale ya ghorofa.
" Utakuta jengo la kuchukua watu 200 lina watu 30 tu na hasa...
Mbeya ametamka nyumba kwa nyumba
Yule wa juzi Amependekeza watumishi wote wachanje
Sasa hii ya songea wanataka kuchanja watoto wa watu kwa lazima...
Kama wasaidizi wako wanajikombakomba kutetea...