Hivi siku TRA inakusanya Kiasi gani kwa mwezi?

astrologist

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
221
268
Kipindi cha awamu ya tano makusanyo ya mwezi yalitangazwa,ila kwa sasa ni zaidi ya miezi mitano kimya kulikoni. Ukijumlisha na tozo ambazo tunalipa nadhani mapato yamepanda juu.
 
Back
Top Bottom