johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,439
- 142,688
Wale wahenga mnakumbuka uchaguzi ndogo pale Temeke uliowahusisha Augustino Lyatonga Mrema wa Nccr mageuzi vs Abdul Cisco Mtiro( rip) wa CCM.
Ule uchaguzi ilikuwa ni kama Serikali vs NCCR Mageuzi na aliyeibuka mshindi wote tunamjua.
Hili ni bandiko la kukumbushana tu maana kizazi cha sasa ni cha kukariri tofauti na enzi zetu.
Maendeleo hayana vyama
cc: mzee Mgaya