Rais Samia anaipaisha Tanzania kimataifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
715
463
Rais Samia anaipaisha Tanzania kimataifa

Na Ashraf Kasebi

Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika kama sehemu muhimu ya kuitangaza Tanzania kimataifa.

Katika dunia ya leo, kuvutia wawekezaji, kuongeza watalii ni masuala ya kibiashara zaidi kuliko siasa, ndiyo maana nchi lazima ijitangaze kama bidhaa yenye ubora na inayovutia kuliko zote.

Wataalamu wa masoko wanajua umuhimu wa jina la bidhaa kutajwa tajwa mara kwa mara kwa wateja waliodhamiriwa huifanya bidhaa hiyo kuzoeleka kwa wateja kiasi kwamba kila inapotokea mtu anahitaji bidhaa hiyo harakaharaka humuijia jina au ‘brand’ anayoisikia mara kwa mara.

Vivyo hivyo kwa utalii na uwekezaji, mtalii anapotaka kufanya safari yake kama nchi zina vivutio vinavyofanana, mara nyingi huamua kwenda kule ambapo amekusikia zaidi kuliko kule ambako hajawahi kupasikia. Kwa sababu mtalii siyo mfumbuzi mfano wa kina Christopher Columbus, hupenda anapotumia pesa zake awe na uhakika wa kile atakachokipata, ni vigumu sana kwenda kubahatisha sehemu asiyoijua au kusikia chochote kuihusu.

Vivyo hivyo mikutano ya wawekezaji wakubwa pamoja na mambo mengine wanapoamua kwenda kuwekeza mahali wanataka wawe na uhakika na aina ya nchi wanayokwenda kufanya nayo kazi, wanaijua na wanawafahamu viongozi wake na labda wamewahi kukutana kwenye pembezoni mwa mikutano mikubwa ya kimataifa.

Ndiyo maana pamoja na Toyal Tour, safari hii ya New York itaongeza ushawishi wa kutajwa Tanzania kwenye maskio ya dunia, na kuingozea Tanzania ‘visibility’ katika masuala ya kimataifa.

Rais akiwa katika mikutano mikubwa namna hiyo ya kiwango cha dunia, anakutana ana kwa ana na viongozi wenzake na wakubwa wa mashirika na taasisi muhimu duniani ambapo ni rahisi kufanya ushawishi kwa manufaa ya Tanzania kuliko pengine popote.

Septemba 23, Rais Samia atakapokuwa analihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kama Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania, mtazamo wa dunia kuhusu Tanzania hautabaki kuwa ule ule, uko ushawishi atakaouongeza hasa kutegemea na aina ya hotuba atakayotoa.

Kwa kufanya hivyo ziara hiyo hasa kwa kuwa inakwenda sanjari na uandaaji wa makala za runinga za Royal Tour kutaiongeza Tanzania ‘visibility’ kimataifa na kuiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuvutia watalii na wawekezaji wengi zaidi.
Kwa hatua hizi anazochokua Rais Samia kuelekea ujenzi wa Taifa imara na uchumi wenye nguvu, tunahitaji kumuunga mkono na kumtia moyo ili kwa pamoja tuisogeze Tanzania Mbele

Tanzania Unforgettable
Kazi Iendelee
 
Anaua nchi kwa tozo na kuharibu demokrasia yetu.
 
Mama anaitangaza nchi si muda mrefu wawekezaji watamiminika kuja kuwekeza Tanzania.
#Mama 2025
 
Mama knows how to find money sio yule Mzilankende alikuwa hajui chochote Kuhusu uchumi ila kuharibu ndio laana aliyokuwa nayo ..

Kila la heri Madam najua ukirudi huko investors watamiminika kama mawakala wa utalii walivyomiminika baada ya Total tour
 
Back
Top Bottom