Mnyika unafeli wapi? Sekretarieti ya CCM iko mikoani inajenga chama chao wewe 24/7 uko mahakama ya Mafisadi, amka mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,727
2,000
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,450

Chadema inajengwa kutoka mioyoni. Samia na serikali yake wanaijenga Chadema kwa Maonevu yao kwa Chadema. Kila mmoja ana usongo na ccm kwa uonevu wa Mbowe , Bawacha etc... Pasua vifua vya CCM uangalie mioyo yao ilivyofunikwa kwa bendera ya Chadema
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,289

Chifu hangaya atakubali?? Anaogopa upinzani kuliko corona
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,289
2,000
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Eti chifu hangaya ameshauriwa na dawati la siasa ikulu Ili ashinde uchaguzi kiulani 2025 kwanza amfunge mbowe, au msajili aifute chadema
 
William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,246
2,000
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Wakiingia mikoani kujenga chama wanaitwa magaidi. Acha atulie dar tu
 
Wamundemu

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
679
500
Chadema inajengwa kutoka mioyoni. Samia na serikali yake wanaijenga Chadema kwa Maonevu yao kwa Chadema. Kila mmoja ana usongo na ccm kwa uonevu wa Mbowe , Bawacha etc... Pasua vifua vya CCM uangalie mioyo yao ilivyofunikwa kwa bendera ya Chadema
Huna hoja wewe wenzenu wanatafuna mihela nyie kazi yenu ni kuwapigia debe. Jiongezeni
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
3,047
2,000
Mkuu usifikiri ni Mh Mbowe pekee ndiye aliyekiwa targeted, yeye alikuwa ni chambo tu. Viongozi wa Juu wa Chama wako makini kuliko wakati mwingine wote. Chama kinajengwa Kwa kutumia akili na si Kwa nnguvu ya Polisi kama mataga. Wanachadema watakuwa wamenielewa.

Nikupe mfano, wakati wa uchaguzi 2020 Chadema hakuwa na bango hata moja haikuwa na magari ya kutumbuiza/matangazo. Lakini mikutano yake yote ilifana Sana nakuwanyima CCM usingizi pamoja na rasilimali zote za umma walizozitumia kwenye kampeni zao. Sasa jiulize habari walikuwa wanapeanaje.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,546
2,000
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Kamata Kamata ya Wapinzani hata wakifanya mazoezi tu je Wakifanya Siasa?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
makwega7

JF-Expert Member
Mar 18, 2018
233
250
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema hatutashiriki uchaguzi mpaka tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi
 
  • Love
Reactions: BAK

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,224
2,000
Huna hoja wewe wenzenu wanatafuna mihela nyie kazi yenu ni kuwapigia debe. Jiongezeni
Pole, njaa endelevu inakutesa kiasi kwamba uwezo wako wa kufikiri wazidi kuporomoka kwa kasi kubwa.

1632054902541.jpeg
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,589
2,000
41EB75B6-39F3-4C1D-B671-E140E2F452A9.jpeg

Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bhuluba

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
636
500
Mkuu usifikiri ni Mh Mbowe pekee ndiye aliyekiwa targeted, yeye alikuwa ni chambo tu. Viongozi wa Juu wa Chama wako makini kuliko wakati mwingine wote. Chama kinajengwa Kwa kutumia akili na si Kwa nnguvu ya Polisi kama mataga. Wanachadema watakuwa wamenielewa.

Nikupe mfano, wakati wa uchaguzi 2020 Chadema hakuwa na bango hata moja haikuwa na magari ya kutumbuiza/matangazo. Lakini mikutano yake yote ilifana Sana nakuwanyima CCM usingizi pamoja na rasilimali zote za umma walizozitumia kwenye kampeni zao. Sasa jiulize habari walikuwa wanapeanaje.
Hakika.na hapa wanawapa shavu wapinzani .kipnd Magufuri alipo fariki haraka sana doctor slaa Ali sema Magufuri aliwapa wapinzani Agenda ndiyo maana leo wame endelea kuwepo Sasa mama atawanyima Agenda na ni vigumu kuendelea kuwepo watapotea.kwa hizi siku ambazo Rais Samia Yuko Madarakani tayari amesha wapatia wapinzani Agenda.tofauti na matarajio ya Dr slaa.
 
lino livava

Member
Feb 14, 2021
37
95
Wewe Ni lazima utakuwa na matatizo na kiungo unachotumia kufikiri.Jana tuu BAWACHA wamezuiwa kufanya jogging tuu halafu Leo unakuja na huo uharo wako.
 
mwandiga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,498
2,000
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Kamwe hawawezi kufunika Tamasha la Simba.
Pili vyama vya upinzani havina leseni ya kufanya lolote hapa Tanzania. Polisi wapo tayari kuwapa keshi yoyote wanayoamua wao. Hivyo ushauri wako ni wa kuishangilia ccm na ubabe wao. Haukuwa na nia njema. Ni walewale.
 
Ti Go

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
670
500
Siasa siyo uadui.

Ziara ya sekretarieti ya CCM mikoa ya kusini imefana kiasi cha kulifunika kabisa tamasha la Simba hapo kwa Mkapa.

Yoyote stsksyemuona J J Mnyika wa Ufipa amkumnushe kuwa 2025 siyo mbali Chadema inafutika huku mikoani, aje kufanya mkutano ya ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Lengo la kuwapa kesi ni ili wakose muda wa kujenga chama. Hata hiyo huoni? Akiri umeweka wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom