Msigwa acha propaganda hazikusaidii, Hamza ni wa CCM, unataka ushindi gani?

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
158
1,000
Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?

Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho upi?
Mmewafuata wananchi gani walioshindwa kuthibitisha?
 
utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
996
1,000
Hilo ni gaidi halitakiwi kupewa heshima yeyote lilitakiwa litoswe baharini sio kuzikwa
 
Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,468
2,000
Issue ya Hamza amelichafua jeshi la Polisi.
Imekichafua chama cha Mapinduzi
Imeishaifua ofisi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
Imeichafua Ikulu na
Imemchafua Mheshimiwa Rais
na Imefunua udhaifu mkubwa sana wa Kiuongozi wa Samia Suruhu.
 
Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,468
2,000
Issue ya Hamza imethibisha kwamba Malipo wanayopata askari wetu kwa kazi ya kukisaidia chama cha mapinduzi kung'ang'ania madarakani kwa msaada wa jeshi la Polisi ni ruhusa ya kufanya ung'anyaji na uporaji wa mali za Raia.

matokeo yake askari wetu wamekuwa ni matapeli, washiriki wa biashara za madawa ya kulevya, wanyang'anyi na wauji, na kupelekea kuwa na jeshi la polisi lisilo na weredi wa kusimamia usalama wa raia na mali zao kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi,
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102

Una uthibitisho kuwa Hamza alitapeliwa na polisi?

Au ndo mihemko yako tu?? Nilikuwa nakuonaga una akili kumbe hauna lolote! Mweupe tu kichwani. Yaani story za vijiwe vya kahawa ndo unaleta humu?
 
Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,468
2,000
Una uthibitisho kuwa Hamza alitapeliwa na polisi?

Au ndo mihemko yako tu?? Nilikuwa nakuonaga una akili kumbe hauna lolote! Mweupe tu kichwani. Yaani story za vijiwe vya kahawa ndo unaleta humu?
ulitakiwa ulete uthibitisho kwamba hakutapeliwa kabla ya kunishambulia. eyes and ears witnesses wote wanasema Hamza alikuwa analalamika kudhurumiwa na askari kabla ya mauti kumfika.

au unapingana mpaka na maelezo ya hamza mwenyewe?
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102
2,000
ulitakiwa ulete uthibitisho kwamba hakutapeliwa kabla ya kunishambulia. eyes and ears witnesses wote wanasema Hamza alikuwa analalamika kudhurumiwa na askari kabla ya mauti kumfika.

au unapingana mpaka na maelezo ya hamza mwenyewe?
Anayetuhumu ndo anatakiwa kuthibitisha au anayepinga tuhuma?

Umeishia darasa la ngapi?
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102
2,000
Anayetuhumu ndo anatakiwa kuthibitisha au anayepinga tuhuma?

Umeishia darasa la ngapi?
Weka hao mashahidi hapa video zao wakielezea hayo!

Video iliyopo ni iliyochukuliwa kwenye bus inayoonesha analalamika Siro kuua vijana wa kiislam huko kusini na anasema yeye anamtetea Allah!

Wewe video yako inayosema alidhurumiwa madini iko wapi?
 
utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
996
1,000
Vijana wa kitanzania wengi ni wajinga wanafuata mkumbo hawatafuti fact
Weka hao mashahidi hapa video zao wakielezea hayo!

Video iliyopo ni iliyochukuliwa kwenye bus inayoonesha analalamika Siro kuua vijana wa kiislam huko kusini na anasema yeye anamtetea Allah!

Wewe video yako inayosema alidhurumiwa madini iko wapi?
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,769
2,000
Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?

Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho upi?
Mmewafuata wananchi gani walioshindwa kuthibitisha?
Ni sawa, alikuwa kada na si mwanachama.. Maana kama kujenga pekee ni alama ya uanachama, NAMKUMBUKA SABODO KWA ALIYOYAFANYA KWA CDM NA HUKU IKISEMEKANA YEYE NI MWANACCM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom