Waziri Makamba kaanza vibaya, nahofia atafeli kama wenzie

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,870
Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'..

Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material lakini cha ajabu anakuja na kauli zile zile za kufukuza watu..
Kalemani alikuwa anafukuza na kuhamisha Hadi wafanyakazi wa chini kabisa Tanesco but still hakuna alicho achieve..

Natamani kumshauri Makamba...Ku deal na management ya Tanesco ikiwezekana kushawishi apatikane CEO hata kutoka nje ya nchi na kuvunja bodi...

Natamani kumshauri Makamba afanye reverse ya policy ya centralisation ya mashirika ya umma yote na taasisi zake
Na shirika kama Tanesco lijiendeshe kama
Any Corporation na sio kupokea maagizo ya Utumishi au wanasiasa...

Natamani kumshauri vingi Waziri Makamba but kwa level yake naamini hakuna kipya ambacho ntaweza shauri
Kama ni smart kama anavyosemwa basi
Haya anapaswa kuyajua....na mengine mengi lakini kama hayajui na atazidi kutishia kufukuza watu na kufukuza kweli

Kwa maana ya waziri mzima kufanya kazi zinazotakiwa kufanywa na CEO wa Tanesco huku ceo wa Tanesco akiwa kama picha hana mamlaka hata ya kuajiri yeyote .. wala kupanga bajeti ya chochote bila Serikali kuu kutoa maagizo basi ..
Makamba atakuwa hana jipya ..
Na mda si mrefu tutakuwa tunasubiri aondolewe aletwe mwingine wizara hiyo
Inayo ongoza kufukuza mawaziri Tz..
 
Huyo kipara ngoto muizi wa kura 2015(Tallying centre)Tangu lini akawa smart Zaid ya wizi na kupika majungu tu ndani ya chama KWA kivuli cha dingi ake.

Huyu anatumia principle ya kukaa kimya mara nyingi na kucheka cheka hovyo ila ni mficha udhaifu wake,Hebu aweke speech walau robo saa tu uone PUMBA atazotoa zisizoeleweka wala kufikirika.

Huyu KWA upishi wa majungu tu anafaa sanaa lakini si kua great thinker ktk kuwaongoza watu.
 
Ameanza cheap sana. Huwa namuona jamaa kama muelewa sana. Naona ni mtu anayeweza kufikiri strategically na kufanya mambo yanayoacha alama. Ila hizi business as usual alizoanza nazo sio kabisa.
 
Huyo kipara ngoto muizi wa kura 2015(Tallying centre)Tangu lini akawa smart Zaid ya wizi na kupika majungu tu ndani ya chama KWA kivuli cha dingi ake.

Huyu anatumia principle ya kukaa kimya mara nyingi na kucheka cheka hovyo ila ni mficha udhaifu wake,Hebu aweke speech walau robo saa tu uone PUMBA atazotoa zisizoeleweka wala kufikirika.

Huyu KWA upishi wa majungu tu anafaa sanaa lakini si kua great thinker ktk kuwaongoza watu.
Kitu ambacho nashangaa ni pale mpaka watu wenye heshima zao wanamsifia makamba, Hana usmart wowote ni mbabaishaji na mjanjamjanja kama walivyo wanasiasa wengi wa kiafrika

MD wa Tanesco awe anafanyiwa interview na wajiendeshe kama agency kidogo watakua professional
 
Na umeme ukikatika bila Waziri kusema mnasema kapwaya...bora waziri fulani! Aina ya uongozi unategemea vitu vingi. Aina ya watu, uelewa, tabia zao nk. Ndiyo maana kuna wakati unatengua na kuteua. Mwacheni Waziri Makamba aongoze. Kutengua na kuteua kuna maana kubwa kama ni kwa malengo chanya.

Fuatilieni hata Putin alikuwa Waziri Mkuu wa ngapi kuteuliwa na Boris Yeltsin, kwa muda gani? Rais Yeltsin aliteua na kutengua Mawaziri wakuu...hadi akampata chuma Putin.
 
kwani mbona mnataka kumpamba huyo kibwetele wenu,kwani tangu zamani wizara alizo hudumu alifanya nini cha ajabu?kwa kifupi tu endapo mwenyezi mungu angemuongezea siku hayalt magufuli basi hii nchi ingefika mbali sana kimaendeleo.Lakini bahati mbaya ndo hivyo kizuri hakidumu.
 
Mambo mengi anayoyaongea makamba yako kinadharia sana.

Wazo lako la kutaka aletwe ceo mwingine kutoka nje ya nchi ni la hovyo kabisa.

TANESCO kinachoiua ni siasa, tanesco kinachosababisha mambo hayaendi ni siasa. Ile tanesco akipewa hata mtu wa darasa la 7 anaiendesha ikiwa tu hakuna siasa.
 
Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'..

Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material lakini cha ajabu anakuja na kauli zile zile za kufukuza watu..
Kalemani alikuwa anafukuza na kuhamisha Hadi wafanyakazi wa chini kabisa Tanesco but still hakuna alicho achieve..

Natamani kumshauri Makamba...Ku deal na management ya Tanesco ikiwezekana kushawishi apatikane CEO hata kutoka nje ya nchi na kuvunja bodi...

Natamani kumshauri Makamba afanye reverse ya policy ya centralisation ya mashirika ya umma yote na taasisi zake
Na shirika kama Tanesco lijiendeshe kama
Any Corporation na sio kupokea maagizo ya Utumishi au wanasiasa...

Natamani kumshauri vingi Waziri Makamba but kwa level yake naamini hakuna kipya ambacho ntaweza shauri
Kama ni smart kama anavyosemwa basi
Haya anapaswa kuyajua....na mengine mengi lakini kama hayajui na atazidi kutishia kufukuza watu na kufukuza kweli

Kwa maana ya waziri mzima kufanya kazi zinazotakiwa kufanywa na CEO wa Tanesco huku ceo wa Tanesco akiwa kama picha hana mamlaka hata ya kuajiri yeyote .. wala kupanga bajeti ya chochote bila Serikali kuu kutoa maagizo basi ..
Makamba atakuwa hana jipya ..
Na mda si mrefu tutakuwa tunasubiri aondolewe aletwe mwingine wizara hiyo
Inayo ongoza kufukuza mawaziri Tz..
Wewe mpumbavu nivigumu kukwepa magufuli legacy, maana ili miradi iliyo anzishwa na magufuli ikamilike na maendeleo yapatikane ni lazima MAGUFULU LEGACY ITATUMIKA HATA NA WANAO ICHUKIA
 
Kitu ambacho nashangaa ni pale mpaka watu wenye heshima zao wanamsifia makamba, Hana usmart wowote ni mbabaishaji na mjanjamjanja kama walivyo wanasiasa wengi wa kiafrika

MD wa Tanesco awe anafanyiwa interview na wajiendeshe kama agency kidogo watakua professional
Huyu Makamba hana chochote wala lolote zaidi kutembelea nyota ya baba yake na JK. Uwezi kuja na mawazo finyu kwamba dawa ya kufanya tuwe na umeme ni kufukuza wafanyakazi. Hii inaonesha uwezo wake mfupi wa kufikiri na namna ya kutafuta ufumbuzi wa tatizo hana.
Hivyo nijiulize, ni kweli umeme unakatika kwa uzembe wa watumishi au bado Tanzania hatujafikia mahitaji yanayohitajika ya umeme kwa wananchi?

Je umeme huu tulionao ambao si toshelevu kuondoa kero za ukatikaji umeme kila mara ni nini kifanyike ili watanzania wasipate usumbufu huo?
Je, Kuna tatizo gani Tanesco linalofanya kuwe na ukatikaji wa umeme mara kwa mara? Na tatizo linasababishwa na nani?

Nadhani waziri anahitaji kuchukua muda na kutafakari suluhisho la umeme na namna ya kusambaza umeme, na kupata umeme wa nafuu kuliko kuja na hadithi za kufukuzana.
Ndo maana nashangaa hii Tanzania, tunaongozwa na watu wale wale ambao hawajawahi kupata ufumbuzi wa matatizo ya watanzania. Ndiyo maana hatusongi mbele. Si mara ya kwanza huyu Makamba kuwa katika hii wizara. Amekuwa hadi mwenyekiti wa Kamati. Alichowahi fanya ni nini?

Leo Rais anamteuwa tena? Hivi huko Bungeni CCM imeishiwa kabisa? Kitu gani kinamfanya Makamba kuwa special ati kila baraza yumo toka enzi za mzee Kikwete?
Ati watu wanamuona ni Presidential material kweli watanzania tumeishiwa. Tanzania hii ina vijana wengi wenye uwezo mkubwa zaidi ya Makamba.

Hivi Mhe. Rais watu wanaokushauri si warudi enzi za Nyerere walikuwa wanafuatilia watu toka wako shule. Wakiona kichwa wanakichukua. Walifuatilia hata mtaani wakiona kichwa wanakichukua, walifuatilia hata ofisi za serikali wilayani, halmashauri na mikoani ili kuandaa vijana na uongozi wa baadae.
Tuache hii ya kubebana. Naipenda CCM ila nadhani CCM imeshafikia mwisho wa kufikiri, tunahitaji chama ambacho kitaiondoa Tanzania hapa tulipo. Tunahitaji viongozi wenye maono na mikakati mipya. Natamani Mapinduzi!
 
Back
Top Bottom