CCM: Makosa ya komredi Polepole siyo makubwa ila ilikuwa kuhojiana na kurudishana kwenye mstari tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,414
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa

Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari pale mmoja wao anapokengeuka.

Kwa mfano Polepole makosa yake siyo makubwa bali ni kushabikis msimamo wa askofu Gwajima kupitia mitandaoni.
Hivyo tumejadiliana ili kurudishana kwenye mstari, amesema.

Source: ITV habari!
 
CcM- the arbiters of truth..yani mnajivika uungu wakati ninyi ni wanadamu😆😆
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Ccm ni chama Cha kipumbavu Sana kwamba mtu akienda kinyume na mwenyekiti ni kosa?
 
Ni kweli, lakini nadhani vyama vyote vina upumbavu uliokithiri. Kwenye baadhi ya vyama (kikiwemo CDM) hata uwenyekiti wa chama ni mali binafsi ya mtu. Ukianza kuutamani ujue siku za uanachama wako ziko ukingoni.
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa

Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari pale mmoja wao anapokengeuka.

Kwa mfano Polepole makosa yake siyo makubwa bali ni kushabikis msimamo wa askofu Gwajima kupitia mitandaoni.
Hivyo tumejadiliana ili kurudishana kwenye mstari, amesema.

Source: ITV habari!
Ati kushabikia msimamo wa Gwajima. Kwa nini wasiseme kuwa amekuwa na mtazamo kama wa Gwajima kuwa negative na chanjo? Au hapo wanataka kumpiga chini Gwaji boy lakini wawaache wengine?ina maana yeye Polepole hawezi kuwa na msimamo wake binafsi juu ya hilo? Je kwa kufanya hivyo hajaenda kinyume na mtazamo wa Mwenyekiti wake?
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa

Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari pale mmoja wao anapokengeuka.

Kwa mfano Polepole makosa yake siyo makubwa bali ni kushabikis msimamo wa askofu Gwajima kupitia mitandaoni.
Hivyo tumejadiliana ili kurudishana kwenye mstari, amesema.

Source: ITV habari!
Bila shaka watamsitahi na alikuwa mkubwa mwenzao but aache kupinga Pinga anaweza kaa kimya kama wao walivyowaambia akina kinana and Co.kukaa kimya.
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa

Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari pale mmoja wao anapokengeuka.

Kwa mfano Polepole makosa yake siyo makubwa bali ni kushabikis msimamo wa askofu Gwajima kupitia mitandaoni.
Hivyo tumejadiliana ili kurudishana kwenye mstari, amesema.

Source: ITV habari!
Makosa ni Makosa kama kashiriki kuunga mkono KOSA katenda kosa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ya ngoswa tumwachie ngoswe. Pole pole ametoa mawazo yake na ushauri wake kadri anavyoona nchi inakwenda hii ni dalili za kutokuridhika kwa kutengwa au kuwekwa kando huku ni nikulialia. CCM chama kikubwa kinapovumilia haya yote ni kutokana na mwenyekiti wa sasa hivi chini ya Rais aliepita lisingetokea wangefukuzwa mara moja. lingoma linogile.
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM amesema wamewahoji wabunge watatu ambao ni Komredi Polepole, askofu Gwajima na Jerry Slaa

Amesema ni utaratibu wa chama kurudishana kwenye mstari pale mmoja wao anapokengeuka.

Kwa mfano Polepole makosa yake siyo makubwa bali ni kushabikis msimamo wa askofu Gwajima kupitia mitandaoni.
Hivyo tumejadiliana ili kurudishana kwenye mstari, amesema.

Source: ITV habari!
Kama anazingua mpigeni risasi mbona kwa Tundu Lissu mliweza?
 
Back
Top Bottom