Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Tozo zisizo na msingi zifutwe

PM anazingua kwani baadhi ya hizo tozo si zinapitishwa bungeni au zinaletwa na mawaziri na yeye ndio mkubwa wao au anakua anatuchora
 
Je wakiamua zote ni za Msingi ?

Huku ni kupiga Siasa..., anashindwa nini kuziorodhesha ?

Binafsi Naona zisozo za msingi ni zile walizopitisha Bungeni na yeye akiwemo
 
Azitaje hizo TOZO sasa kamuachia nani azitaje? Alitoa siku 7 ya ripoti ya moto wa soko la Kariakoo iwe tayari ilikuwa July 10 leo September 19 miezi miwili karibu na nusu baadaye ripoti bado,
😩😩😩

Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.

Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.

Source: ITV habari
 
Back
Top Bottom