Pamoja na ukweli kwamba Polisi haitakiwi kujihusisha na siasa ukweli ni kwamba Polisi inajihusisha sana na siasa. Kibaya zaidi hakuna uamuzi wa kueleweka na kila kiongozi wa Polisi anafanya maamuzi yake kwa kuangalia kusifiwa au kupandishwa cheo. Polisi wamekuwa wakitafuta sifa kwa watawala badala ya kujali zaidi kuleta usalama kwa wananchi.
Kwa misingi hii ni bora serikali iweke wazi na kuwe na kamishna maalumu wa kushughulikia mambo yote ya siasa. Kamisha huyu awe na elimu ya siasa, demokrasia au habari.
Hii itasaidia vitu viwili
(1) Kufuata sheria kwenye kesi ya mbowe tomeona umuhimu wa kufuata sheria
(2) Maamuzi yanayo fanana badala ya kila kiongozi kufanya maamuzi tofauti.
Hayati alikosea kotoa jeshi kwenye usomi na kujali raia na kuwa kama jeshi la kulinda serikali pekee na viongozi wake.
Sirro kapata kazi ya IGP kwasababu ya ubabe wake na sio akili yake au uwezo wa kuendesha idara. Sasa tunaona Sirro anakutana na mlezi wa vyama kama vile Polisi ni chama cha siasa.
Zamani tulikuwa na makamisaa wa ccm Polisi lakini huyu kiongozi hata kuwa hivyo siasa itakuwa kama idara na itapunguza IGP kuonekana kama chawa!