DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 302
- 274
Wana bodi,
Katika pita pita zangu niki tazama hali ya siasa nchini ikiwemo kesi inayo mkabili Freeman Mbowe na mbinu zinazo tumiwa na wana CHADEMA kudai katiba mpya, nime jiuliza maswali ambayo labda nitapata ufafanuzi zaidi. Je, mabadiliko ya katiba yatawa saidia wana CHADEMA? Je, katiba ya sasa hivi ndio sababu ya chama cha CCM kuwa na support kubwa nchini kwote? Je tume huru ya uchaguzi ina manufaa kwako kama unashindwa uchaguzi kwa kishindo?
Katiba inaweza isiwe priority sana kwa mtanzania wa kawaida katika kipindi hiki ambacho serikali inajaribu kufikisha huduma mbalimbali kwao. Vile vile karatasi tu haiwezi kutosha kuwatoa wana CHADEMA kutoka walipo sasa hivi mpaka kufikia hatua ya wao kuwa piku CCM. Kama ningekuwa natoa alama kwa vyama vya siasa ningewapa CHADEMA asilimia 5 na wana CCM asilimia 95.
Ukweli wa mambo ni kwamba Chama cha Mapinduzi bado kina kubalika sana kwa watanzania kuliko chama kingine chochote na wana CHADEMA wana hitaji mbinu mbadala kuwafanya wafikie hatua hiyo hiyo. Karatasi hii inayo gombaniwa sio kila kitu kwa wana CHADEMA bali kuwafikia wananchi kwa sera na mipango mizuri ndio muhimu zaidi kwao.