Demokrasia ya CCM tu kufanya mikutano vyama vingine marufuku

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Tanzania ni Nchi wa Mfumo wa Vyama Vingi,

Kwa mujibu wa katiba iliyopo inavitaka vyama vyote kufanya siasa kwa maana mikutano ya hadhara na ya ndani

Cha kushangaza ni chama kimoja tu ambacho ni CCM ndio kinafanya mikutano ya hadhara na ya ndani vyama vingine vyote marufuku eti hiyo ndio demokrasia ya vyama vingi.

20210916_182401.jpg
 
Nina kubaliana na wewe
 
Huko CCM mwenyewe Sasa hivi kuko vipande vipande. Hawaelewani.

Wengine wanasifu na kuabudu kila siku lkn wakati wa teuzi CCM inanunua wapinzani na kuwateua kwenye nafasi.

Sifa za kuteuliwa CCM kwa Sasa Kama Ni mwanamke awe pisi Kali au mpinzani aliyenunuliwa kwa Bei mbaya.

Wabunge wengi wa CCM hawakushinda kwenye uchaguzi ndani ya chama Chao. Watu walishinda majina yakakatwa kinafiki na Bashir, polepole. Unafikiri wale ambao majina yao yalikatwa yakachomekwa ya waliotoka upinzani wanajisikiaje? Silinde, Waitara, Ole nani na wengine waliochomekwa unadhani wanaibomoa CCM au wanaijenga?

kwa ujinga huu CCM inajimaliza yenyewe
 
Tanzania ni Nchi wa Mfumo wa Vyama Vingi.
Kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo inavyitaka VYAMA Vyote kufanya SIASA kwa maana MIKUTANO ya HADHARA na ya NDANI
Cha Kushangaza Ni Chama kimoja tu ambacho ni CCM ndio Kinafanya MIKUTANO ya HADHARA na Ya NDANI VYAMA vingine Vyote MARUFUKU Eti hiyo ndio DEMOKRASIA ya VYAMA VINGIView attachment 1947843

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hi nchi mpaka tuchinjane ndio tuheshimiane
 
Tanzania ni Nchi wa Mfumo wa Vyama Vingi.
Kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo inavyitaka VYAMA Vyote kufanya SIASA kwa maana MIKUTANO ya HADHARA na ya NDANI
Cha Kushangaza Ni Chama kimoja tu ambacho ni CCM ndio Kinafanya MIKUTANO ya HADHARA na Ya NDANI VYAMA vingine Vyote MARUFUKU Eti hiyo ndio DEMOKRASIA ya VYAMA VINGIView attachment 1947843

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Umekariri! Demokrasia siyo cocacola
 
Ccm wamerogwa
 
Huu ushenzi una mwisho wake.
 
Back
Top Bottom