Robert Amsterdam hawezi kurudia tena kuwa upande tofauti na Palamagamba Kabudi, amejifunza somo kubwa sana maishani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,394
Kuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu.

Bwana mdogo Amsterdam alipoanza kuongea ongea huko Twitter Kabudi mara moja aliingia kwenye timu ya wanasheria wa Tanzania na ndani ya siku moja tu meza ile iliweza kuidigest kesi. Kabudi alitoa taarifa kuwa hamna kesi yoyote kwenye hilo na wahusika watapotea wenyewe kadri muda unavyoenda. Kweli mpaka leo wamepotea wenyewe. Amsterdam kimya.

Hongera sana Kabudi huyu Robert Amsterdam amejifunza kitu kutoka Tanzania.
 
Ukishamwagia maji ya sharubati kichwa hakiwezi kaa sawa alikua dudu linamnyevua tu na nchi isiyomuhusu!
 
Naona misukule ya CCM, aka MATAGA imeambizana, kuanzisha uzi wao wa kipuuzi na usio na kichwa wala miguu, halafu inachangia na kupongezana kwa kasi ya ajabu!

Uzi wenyewe haueleweki! Wanacho furahia chenyewe, ni uvundo tu! Kabudi sijui anakula ugoro! Sijui ananuka mdomo! Sijui akiongea anatoa macho 😳 kama mtu aliyekabwa na wahuni wa Tandale!!

Ujinga mtupu!
 
Kuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu

Bwana mdogo Amsterdam alipoanza kuongea ongea huko Twitter Kabudi mara moja aliingia kwenye timu ya wanasheria wa Tanzania na ndani ya siku moja tu meza ile iliweza kuidigest kesi. Kabudi alitoa taarifa kuwa hamna kesi yoyote kwenye hilo na wahusika watapotea wenyewe kadri muda unavyoenda. Kweli mpaka leo wamepotea wenyewe. Amsterdam kimya.

Hongera sana Kabudi huyu Robert Amsterdam amejifunza kitu kutoka Tanzania.
jinai haifi mkuu utakuja kumuombea huruma,watu wanavuta pumzi
 
Prosecutor mpya wa ICC ameteuliwa. Ni guru la sheria toka uingereza kuchukua nafasi ya Bensouda. Anaitwa Karim Khan.

yeye KK(Karim Khan) ndiye alimtetea Ruto(by the time Ruto ana Kesi ICC yeye ndiye alikuwa wakili) na Saif Al-Islam ,mtoto wa Ghadafi.

Tusubiri atakapoanza kazi June 2021.
 
imeisha hiyo
 
Kuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu.

Bwana mdogo Amsterdam alipoanza kuongea ongea huko Twitter Kabudi mara moja aliingia kwenye timu ya wanasheria wa Tanzania na ndani ya siku moja tu meza ile iliweza kuidigest kesi. Kabudi alitoa taarifa kuwa hamna kesi yoyote kwenye hilo na wahusika watapotea wenyewe kadri muda unavyoenda. Kweli mpaka leo wamepotea wenyewe. Amsterdam kimya.

Hongera sana Kabudi huyu Robert Amsterdam amejifunza kitu kutoka Tanzania.
Mshitakiwa namba one hayupo, The file is closed
 
Amsterdam, kama alivyo Lissu, ni debe tupu!
 
Hii thread ilikuwa kabla marehemu hajafa? Yuko wapi leo Kabudi? Hii ndio awamu yake ya mwisho na akimaliza ashukuru.
 
Back
Top Bottom