johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!