Kwa kifupi awamu ya 5 ilisimamia sera zetu wapinzani tulizozisimamia kwa muda mrefu tofauti iliyokuwepo ni kwamba tofauti za kisiasa zilifanya awamu hiyo itushambulie na sisi wapinzani.
Ni wakati sasa kwa wapinzani kurejea katika sera zetu za kumkomboa Mtanzania mnyonge kwa kusimamia rasiliamli za taifa zitumike kuwakomboa watu wote, kusimamia maadili ya Taifa.
Sera hizi ndizo zilizoipa CHADEMA chati enzi za awamu ya nne na ndizo zilizompa chati JPM.
Wapinzani turudi kwenye sera zetu hizi kwani sisi ndiyo wasisi wake