World leaders attend the 76th U.N. General Assembly

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,992
10,497
VIKAO vimeanza tuwasikilize viongozi wetu wataongea nini cha muhimu

 
Viongozi wengi hawajahudhuria wanahudhuria kupitia mtandao

Rais wa Brazil anahutubia hana barakoa wala hajachanja
 
Tunasubiri hotuba ya Madame President,Amiri mkuu wa majeshi yote, chifu Mkuu wa Tz, Mama yetu Samia Suluh.
 
hapo ndiyo angekuwepo mbowe ndiyo kaenda hapoyaani angekuwa anatoamacho kama mjusi kabanwa na mlango
mbona unajisahaulisha dadangu? ulitakiwa useme hapo angekuwa MEKO sijui ingekuwaje na kile kiswanglish chake ... ''pipo uzi tu dai ini dhe.. ini dhe... dhe.. REEEKI''
 
Back
Top Bottom