johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,957
- 141,950
Meya wa Jiji la Arusha amesema uchumi wa jiji hilo sasa umeimarika sana na wananchi wategemee mambo mazuri zaidi.
Meya amesema baada ya Rais Samia kuzindua chanjo ya Corona Watalii wanamiminika jijini Arusha kila siku hali iliyopelekea mapato ya jiji kuongezeka sana na kuvuka malengo ambapo mwezi July wamekusanya 107% ya lengo na Agost 116% ya lengo na matarajio ni kukusanya zaidi na zaidi.
Meya amesema Arusha kwa sasa hali ya kisiasa imetulia kwani wananchi wanachapa kazi chini ushirikiano imara wa DC, DED, Meya na Mbunge.
Chanzo: Ajenda Star tv