Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu. Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe...
1 Reactions
3 Replies
787 Views
KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwenu Chama cha Mapinduzi. Kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wafuasi wenu: Pichani kama hao ni wafuasi wenu na hawafanyi hivyo kwa ridhaa zenu, hamdhani kuwa ni wakati wa ku jitafakari...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi? Ukiachana na misaada: Kodi imekuwa ikilipwa na...
1 Reactions
10 Replies
941 Views
RAIS SAMIA APONGEZA KUANZISHWA KWA KITUO JUMUISHI MAHUSUSI KWA KUSHUGULUKIA MASHAURI YA KIFAMILIA Na Mwandishi Wetu 06/10/2021 🇹🇿🇹🇿 Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo Jijini...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Ni hali ya kawaida kumantain status kwenye siasa ya kimataifa kuwa taifa lenu linazingatia misingi ya vyama vingi ni lazima chama tawala kiwe na vyama kinavyovilea kama vyama vya upinzani. Hii...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Taarifa ya EWURA iliyopandisha bei ya mafuta kwa kiasi cha Shilingi 12 kwa lita eti inatufahamisha kuwa kuna punguzo la tozo katika bidhaa za mafuta! Ninajiuliza sasa kama kweli tozo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
#Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Wananchi wa Kijiji Cha Kilombero kata ya Chambarai wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wametishia kuandamana Kwa mkuu wa wilaya hiyo kupinga kusimamishwa uongozi Kwa mwenyekiti wao Nguti Kirusu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkapa`s memo that cost $2.5m 2009-04-19 14:01:15 By Staff Writer The controversial decision taken by Benjamin Mkapa`s office to revoke a multibillion-shillings hotel tender has cost...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
itabidi upangue wizara nyingi...siyo maliasili na utalii pekee ili kurudisha crebility yako kwa Watanzania. JK akasirika 2007-11-19 17:18:18 Na Mwandishi Wetu, Jijini Kuna habari kuwa...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Nimekua nikijizuia sana kutoa maoni kuhusu Kitendo Cha Prof.Lipumba kuondoka ndani ya CUF kwa sababu alizozitoa na yote aliyoendelea kusema na kutenda hadi kufikia siku za jana .Hii ni kwa sababu...
30 Reactions
81 Replies
11K Views
Dk. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya amesema "Nizungmzie Chanjo ya UVIKO 19 ambapo mpaka sasa jumla ya wananchi 638,000 wameshapatiwa Chanjo ya Johnson-Johnson na Ijumaa wiki hii tunapokea Chanjo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu. Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Inajulikana wazi kuwa mbunge mteule wa CCM bwana Sheha Mpemba Fakhi amejiuzulu nafasi yake ya ubunge ili kuokoa Serikali ya umoja wa Kitaifa iliyopo kati ya CCM na ACT wazalendo baada ya ACT...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Safari ya juzi ya JK ni ya 358 tangu aingie madalakani hii inamaana JK amekua safarini mwaka 1 na siku 13 .Nakwakua safali moja inaweza kuchukua zaidi ya siku 2 au 3, kwawastani ni siku 2 ...
7 Reactions
194 Replies
16K Views
Sakata la kukamatwa mchora vibonzo Optter Fwema limetokea huku kukiwa na kilio cha kukosekana kwa uhuru wa maoni na ukandamizaji haki za raia. Ukiondoa mitandao ya kijamii, hakuna chombo cha...
21 Reactions
37 Replies
3K Views
Mh. Rais amepunguza tozo kwenye mafuta, na wote tumesifu hili suala maana bei ya mafuta ukubwa wake unatokana na tozo na Kodi mbalimbali. Lengo la kufuta baadhi ya tozo ni kumpunguzia mwananchi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…