Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania...
Habari wadau...!
Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel...
TAARIFA KWA UMMA
YAH; UZINDUZI WA KAMPENI YA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19
Chama cha sauti ya umma(SAU) tuna mpongeza Mhe.Rais SAMIA SULUHU HASSAN, Waziri Mkuu na...
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
Askofu Gamanywa: Yesu alisema kwa jina langu hata mkinywa kitu kinachofusha hamtadhurika.
Yesu pia alisema " mpeni kaisari yaliyo yake kaisari"
Hivyo naomba tusibaguane waliochanjwa kwa hiyari...
Salaam Alekuim.
Katika siku za karibuni kumekuwa na maneno,malalamiko mengi juu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu katika mitandao ya kijamii na mitaani.
Rai yangu kama watanzania ili tusonge mbele...
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu...
Hii ndio Kauli aliyoitoa IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa Habari , bado haijajulikana lengo hasa la mkubwa huyu kutoa siri hiyo inayowahusu Polisi hao ambao hata hivyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano...
NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR.
ZAA = Zanzibar
TAA = Tanzania BARA
Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to...
Hili ni swali kwa Wanasheria waliomo humu JF, ni wazi kuwa Mh Mustafa Siyani amepadishwa cheo , na kwamba kabla ya "kula shavu" hilo alikuwa ndiye Jaji aliyeendesha kesi ya Ugaidi wenye thamani ya...
Sisi Watanzania tunayo sifa moja tofauti na wenzetu. Humsifia kila Rais anayekuwepo madarakani na kumpa majukumu ya kufikiria kila jambo kwa niaba yetu! Akiondoka madarakani tunaanza kulalama tena...
Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini...
Siasa siasani, na hatimaye tumefika nzuri hatuna budi kubaki watazamaji.
Watu mashuhuri na wasanii mbalimbali wamealikwa Serena hotel kwenye hafla ya kuongea na kumpongeza Mama kwa hotuba na...
Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.
Msemaji wa...
Tunaishi kwa mawazo( Idea) zilizopita na kuboreshwa lakini hatuishi maisha ya mtu aliyepita (Mfu).
Tunatumia kanuni( Theory) zilizopita na kuboreshwa za akina Newton Einstein, Michael ANGEL...
Bondia wakuu.
Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za...
Tunakoelekea komredi Polepole anaweza kurejea asili yake na kuanzisha upya vuguvugu la kudai katiba mpya.
Je, tumuunge mkono kwa sababu Chadema limewashinda?