Uongozi wa rais Samia unafanya mengi na kwa dhati kurekebisha na kuendeleza nchi kiuchumi, kisiasa na kijamii

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Salaam Alekuim.
Katika siku za karibuni kumekuwa na maneno,malalamiko mengi juu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu katika mitandao ya kijamii na mitaani.

Rai yangu kama watanzania ili tusonge mbele pamoja tubadilike na kuacha hizi lawama na malalamiko yasiyo na tija kwa uongozi wa Rais Samia.

Uongozi wa mama Samia unafanya mengi na kwa dhati kurekebisha na kuendeleza nchi kiuchumi,kisiasa na kijamii hivyo sisi kama wadau hatuna budi kuchangia mawazo yetu chanya na kukosoa kwa Nia ya kurekebisha lakini sio hivi inavyofanyika katika siku za karibuni. Kwani kufanya hivyo sio tu ni kukosa heshima kwa uongozi na kukatisha tamaa bali vile vile tunazalisha nyongo mbaya kwa vizazi vijavyo na kuzalisha taifa lilokosa matumaini.

Na katika kujenga tunapokosoa tutoe na mbinu mbadala za kuboresha naamini uongozi kwa hivyo watayachukua na kuyafanyia kazi.

Mwisho tuwe na Imani uongozi wa mama wanafanya kazi nzuri ndio maana yote yalioanzishwa na Marehemu JPM wanayaendeleza.
Tubadilike tuwe na misamamo chanya
 
Kisiasa binafsi natoa 20 asilimia pekee,sijui maoni ya wanajukwaa wengine.
 
Tuangalie utendaji wake na matokeo ya utendaji kiukweli matokeo makubwa tutakuja kuyapata kimaendeleo. Naamini hivyo kwanza kwa sababu Mama anapita katika zile njia allizotengeneza marehemu JPM na pili mambo yanakwenda kimkakati
 
Samia anajitahidi..let's be honest.

2025 kuna mambo mengi positive yatakuwa yamefanyika.

Kisiasa bado bado kuna kona kona nyingi.
 
Salaam Alekuim.
Katika siku za karibuni kumekuwa na maneno,malalamiko mengi juu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu katika mitandao ya kijamii na mitaani.

Rai yangu kama watanzania ili tusonge mbele pamoja tubadilike na kuacha hizi lawama na malalamiko yasiyo na tija kwa uongozi wa Rais Samia.

Uongozi wa mama Samia unafanya mengi na kwa dhati kurekebisha na kuendeleza nchi kiuchumi,kisiasa na kijamii hivyo sisi kama wadau hatuna budi kuchangia mawazo yetu chanya na kukosoa kwa Nia ya kurekebisha lakini sio hivi inavyofanyika katika siku za karibuni. Kwani kufanya hivyo sio tu ni kukosa heshima kwa uongozi na kukatisha tamaa bali vile vile tunazalisha nyongo mbaya kwa vizazi vijavyo na kuzalisha taifa lilokosa matumaini.

Na katika kujenga tunapokosoa tutoe na mbinu mbadala za kuboresha naamini uongozi kwa hivyo watayachukua na kuyafanyia kazi.

Mwisho tuwe na Imani uongozi wa mama wanafanya kazi nzuri ndio maana yote yalioanzishwa na Marehemu JPM wanayaendeleza.
Tubadilike tuwe na misamamo chanya

Si kuwa kipaumbele chake kipo kwenye kujisimika 2025 kama rais mwanamke bila kujali how?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom