Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
 
Kwani yeye ndio wakwanza kuandika vitabu mkuu. Vitabu kila Professor anaviandika duniani. Professor Mhongo mwenyewe anavitabu, sir unga mwenyewe anavitabu. Nobel Prize na vitabu ni vitu viwili tofauti.

Sisi kama serikali tukisema tuanze kusifia hadi waandishi wa vitabu hiyo kazi mbona itakua ni ngumu sana. Waandishi wa vitabu husifiwa na vyuo vyao au kwenye journals.
 
Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982amkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Wanafiki tu....It is hypocrite, Yaani leo ndiyo mnamuona anafaa. Nchi gani isiyojali watu wenye asili yake? Yaani wanafikiri kuwanyang'anya mali zao kisa tu watanzania wamebadilisha uraia ili wapate maisha mazuri na wawasaidie nyumbani huku.

Hili Taifa ni la ovyo mno, limejaa watu wenye wivu kupindukia. Kwa taarifa yenu Professor Gurnay siyo mtanzania na si haki kumwita mtanzania, mmemnyima uraia pacha halafu leo mnamwita ni Mtanzania. Shame on you all!
 
Wao wanahisi kila Jambo ni siasa....sijui ni namna ya kutafuta political milestone au ni ujuaji tu Kama taifa stars.
Nikutotumia muda angalau kujitafakali kabla ya kutoa matamko ya kuunga mkono jambo.

Hawana muda wa kulitafakari jambo wao wanachojua ni matamko yasiyo na mashiko.

Ona sasa aibu iliyo wakumba kwa tuzo tu.
 
Kwani yeye ndio wakwanza kuandika vitabu mkuu. Vitabu kila Professor anaviandika duniani. Professor Mhongo mwenyewe anavitabu, sir unga mwenyewe anavitabu. Nobel Prize na vitabu ni vitu viwili tofauti.
Sisi kama serikali tukisema tuanze kusifia hadi waandishi wa vitabu hiyo kazi mbona itakua ni ngumu sana. Waandishi wa vitabu husifiwa na vyuo vyao au kwenye journals.
Tatizo hapa ni jinsi watawala walivyo amua kuuteka huu mjadala wa hiyo tuzo ya Nobeli.
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Well said
 
Back
Top Bottom