Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

Baraka21

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,282
2,000
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.

Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,919
2,000
🤡🤡🤡

109_20210706_190119.jpg
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,398
2,000
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
Chapa kazi kama wewe ndo huyo injinia, mambo ya uongo uongo watanzania tumechoka.
Kama mmechoka kulipwa pesa za watanzania acheni kazi wenye kuweza wafanye kwa haraka.

Kazi ya wiki moja manamaliza miaka tena mpaka msukumwe.
Lini mtabadilika muipende nchi yenu bila kusukumwa?

Sisi kodi tunalipa ili tupate huduma nyie mnazuia huduma kwetu kisha mnataka mbebelezwe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom