Rex-Attorney's Kunyimwa kazi za SERIKALI- January Makamba

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba kasema wazi kwamba, akiwa Mbunge, atahakikisha kampuni ya kisheria ya Rex Attorney's haipati kazi yoyote ndani ya serikali, kwani wangekuwa Makini kusingetoea hii mikataba tata ya Dowans, Richmond na mengine ambayo rex imeshiriki. Kwa maana nyingine, January anadai kwamba Mikataba yote iliyosimamiwa na Rex, yote imezua utata. Adai rais alipotoshwa kumteua mama sinare wa rex attorbey kuwa balozi wa tanzania uingereza.

MY TAKE:
Wanajamvini, January ni mtendaji au tu ni bifu zake na Rex ili JK amuone? JE JANUARY ANATETEA MASLAHI YA WATANZANIA AU YA SHEMEJI YAKE ROSTAM na Mafisadi wengine, kwani anakoelekea ni kubaya. kaanza kuropoka mapema mno....
 
January bin MAKAMBA Ukishakuwa na jina la ukoo wa MAKAMBA unategemea nini? Mipasho na kuropoka ndio kazi zao, Like SoN liKe BaBa:lol::lol:
 
Hana kitu nimtoto wa nyoka nae pia ninyoka tena tunapaswa kua makini sana kuna wana ccm wanajidai kua mguu nje mguu ndani ili siku uma umekaza buti na ccm imeangushwa iwe rahisi kwao kujirudi chadema na kujidai wema ili wapate nyadhifa
 
Malaya wa matamshi huyo, anajua anachojaribu kukipika ila tumemshtukia na tunamfatilia nyendo zake
 
usidanganyike hapo anatafutwa scapegoat,..rex attorneys walikuwa wanafanya kazi under special instructions za rostam na mafisadi wenzake,makamba ametumwa kuwasafisha watu,huwezi kuwatenganisha rex na jk,rostam,lowassa,mkono na mafisadi wengine..anatafutwa mbuzi wa kafara,.maji shingoni duuh CDM si mchezo,..
 
makamba jr. huyo
 
Aidha watu hamuwezi kufikiri au mmechoka kufikiri au mnajitia hamnazo tu! January kajitahidi japo kuwataja hao wanasheria, lakini wengi hatuoni hili kwakuwa kwetu kupinga kila kitu ndio busara. Ni lini na ni wapi tutajua kuchambua yale mazuri bila kuanza kufikiria nani kasema?
Hii mikataba wote tunafaham kilichotokea, sasa na yeye kaongezea pale ndio tatizo? Anatakiwa awe na sirname ipi ndio atasikilizwa? Aitwe january Zitto au january slaa ndio mtamsikiliza?
 
Watanzania wenzangu mnataka nini?
Kwa hili ninamuunga January Makamba mkono 100pc.
 
watanzania msifanye makosa kwa kusikiliza kauli za makamba, angalieni matendo yake zaidi ya kitu kingine chochote. kumbuka alivyoandika barua kali kwa Ngeleja kuhusu swala DOWANS halafu the next day mtu huyo huyo anaipigia debe DOWANS kupewa tenda ya ku supply umeme kwa what so called "Emergency".maneno yake hayafanani na vitendo vyake. always follow the money, The man is bought and paid by Rostam.
 
Mbona hamwambii dada yake MWAMVITA MAKAMBA aache kazi kampuni ya fisadi RA-VODACOM?
 
Aidha watu hamuwezi kufikiri au mmechoka kufikiri au mnajitia hamnazo tu! January kajitahidi japo kuwataja hao wanasheria, lakini wengi hatuoni hili kwakuwa kwetu kupinga kila kitu ndio busara. Ni lini na ni wapi tutajua kuchambua yale mazuri bila kuanza kufikiria nani kasema?
Hii mikataba wote tunafaham kilichotokea, sasa na yeye kaongezea pale ndio tatizo? Anatakiwa awe na sirname ipi ndio atasikilizwa? Aitwe january Zitto au january slaa ndio mtamsikiliza?

Well said!!!
 
akiwa mbunge au yeye kama mbunge???sijaelewa mwanzo wa statement yako
 
..kila raia ana haki ya kujitafutia kipato halali nchi hii.

..sidhani kama Mh.January Makamba ametoa matamshi hayo.

..akifanya hayo aliyosema, tena kwa kutumia nafasi yake kama Mbunge, atakuwa amevunja sheria ya nchi ambazo ameapa kuzilinda.

..siamini kama Mh.Makamba ametoa kauli hiyo.
 
si siri JAN MAKAMBA na BASHE wapo kwenye payroll ya RA hapo unategemea nn?
 
Great thinkers wa Jamii Forum wakiwa kazini

very intertaining...inanikumbusha katuni za Chakubanga

hakuna anayejadili hoja...ni character assassinations weee mpaka bas

amakweli ngoma ikilia sanaaaa huwa inapasuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom