Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,142
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
 
Ovyo tu,mzee cheyo nimemsikia anasema wanaume tumezaliwq na wanawake zikapigwa kelele nyingi na vigelele kama vile walikuwa hawajui

Kwa mujibu wa huyo mzee,hiki ndicho kigezo cha kwamba wanawake wana uwezo mkubwa wa kuongoza nchi, huu ni ubahuzi wa kijinsia huyu bibi analeta
 
Namba tatu na nne ziko wazi, nimeona maofisini, huko vyuoni na kwingineko, kuliko mwanamke amuachie mwanamke mwenzake awe mbele yake, kwake anaona bora mwanaume akae mbele wakose wote, naamini hii ni nature yao.
 
Kwani uchaguzi hapa una amliwa na idadi ya kura, au na CC (Central Committee) ya chama tawala, la muhimu yeye kupita ni kueweka chama vizuri na kuondoa wanao mpiga chawa) kama polepole na wezie, ila la muhimu asiache kambi Msoga, huyu baba ndo architecture wa siasa za CCM, na anapendwa sanaa na Watanzania, hizo kura zawanawake hazina lolote
 
Wanawake wepi hao unaowaongelea hapa?

Mimi na wengine wengi tunaamini kwenye wanawake wenye uwezo katika kazi na SSH anao uwezo, hata waliompokea kwenye siasa na aliyekua kiongozi wake JPM aliliona hilo
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ...

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari....[/B]

La msingi analopaswa kujua na liongoze maamuzi yake, yeye ni Rais kwa sababu ya Katiba na uteuzi wa mtangulizi wake (me)
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, mpaka sasa, kama tungefanya uchaguzi mkuu leo hii, mambo mawili yangetokea:

(1)Watu wengi wasingekwenda kupiga kura.

(2) Wale watakaokwenda kupiga kura, wangepiga kura kwa hasira na kati ya 75% na 89% wangechagua viongozi wa UPINZANI.

Kama hali itakuwa hivi au duni zaidi ya hii mpaka 2025, haya mambo mawili niliyoyataja hapo juu yatatimia hakika.

Kwa anayebisha leo, atunze kumbu kumbu vizuri hadi mwaka huo.
 
Itakuwa Sawa kusema kuwa cheo ulichokipata baada ya aliyekuwa nacho kufa ni rehema ya mwenyezi Mungu kwako!?
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano....

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Samia ameanza kampeni huku akizuia mikutano ya ndani ya wapinzani kweli mama huyu Mmbabe!
 
Rais Samia atasbinda tena kwa asilimia anazotaka mwenyewe kwasababu CCM tayari ina maxhinery nzito ya uchaguzi.

Ni upumbavu kukaa tunajadili kitu ambacho kinafahamika kabisa.

Kwanza wanawake wengi ni CCM, huku mitaani tunaona.
 
Uliichosema ni kweli mkuu,yaani hapa kitaa kuna kakikundi ka wanawake ni CCM kindaki ndaki wakiongozwa na mama yangu mdogo ndio hua wapiga vigelegele na wawakilishi wa mtaaa kwenye mikutano
Duuuu huwezi amini Hawamkubali Madame wanamkandia balaa,wanasema anajua kulembua tu wakati mahitaji madogo madogo kama mafuta ya kula yapo bei juu?

Hua nawakejeli kwa kuwaimbia CCM Mbele kwa mbele nikiona wana dis

Juzi kati wakakili kumbe bungeni bila wapinzani kuwepo kuna wagonga meza wananapitisha upumbavu bila kupinga,naona wanajipanga sasa et Tundu Lisu akirudi 2025 kugombea watamuunga mkono kwa kishindo

Naishia kucheka tu nakusema
Hiiiiii bha ghoshaaaaaaaa
Ama kweli wanawake hawapendani!
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano....

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Siku si nyingi atajua na ndoo atatafakari vizuri hoja zaka. Pengine awe kigeugeu kama Manara wa Yanga
 
Rais Samia atasbinda tena kwa asilimia anazotaka mwenyewe kwasababu CCM tayari ina maxhinery nzito ya uchaguzi.

Ni upumbavu kukaa tunajadili kitu ambacho kinafahamika kabisa.

Kwanza wanawake wengi ni CCM, huku mitaani tunaona.
Umetumia kipimo gani kutambua wanawake wengi ni CCM, research au zile sare zao za kijani ambazo hata mashabiki wa Yanga wakivaa wanaonekana kama CCM?
 
Back
Top Bottom