Spika Ndugai: Mimi naijua dini vizuri namshauri askofu wangu kule Uingereza, nimesali kwa TB Joshua na naenda sana Israel

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.

Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa Anglican duniani pale Uingereza
Kadhalika amesali kwa TB Joshua kwa muda mrefu na sasa huwa anaenda Israel mara kwa mara na juzi kati alikuwa huko na Mwalimu Mwakasege

Source TBC
 
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.

Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa Anglican duniani pale Uingereza
Kadhalika amesali kwa TB Joshua kwa muda mrefu na sasa huwa anaenda Israel mara kwa mara na juxikati alikuwa huko na Mwalimu Mwakasege

Source TBC
Mshauri wa kanisa gani?

Dah...

Kupatwa kwa Anglican...
 
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.

Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa Anglican duniani pale Uingereza
Kadhalika amesali kwa TB Joshua kwa muda mrefu na sasa huwa anaenda Israel mara kwa mara na juxikati alikuwa huko na Mwalimu Mwakasege

Source TBC
Ndugai, unaweza kuijua dini lakini usimjue Mungu.

Unaweza kusali imani yoyote utakayo kama vile vatcan, ukristo, n.k, kama vile kuna wengine wametembea dunia nzima, ama kufany akazi tofauti tofauti.

Kwenda Israel, Kwa TB Joshua, na kuwa na askofu mkuu wa Church of England si kwenda Mbinguni. MOYO WAKO UNAKUSHUHUDIA, LEO HII KRISTO AKIRUDI, AMA PARAPANDA YAKO AMA YA JUMLA IKIPIGWA, UTAINGIA MBINGUNI? UNAYE YESU MAISHANI MWAKO? Ndugai ukijibu hili swali, bila shaka utakuwa na akiba ya maneno. MUNGU NI MUNGU, HANA UBIA, HAIFICHWI SIRI NA HADHIHAKIWI.
 
Hahaha....ehe asijifanye anaijua sana
Dini kuliko wengine siyo 😂😂😂

Ova
 
Bingwa wa maigizo, mungu mtu huyo.
Alitakiwa kutubu hadharani pamoja na kujiuzuru uzee wa kanisa na ushauri wa Askofu.
Najiuliza hivi jamaa angedanja ,si ilikua murder case...That was attempted murder jamaa alikusudia kuua
 
Wachawi wapo popote.....am sorry to say!!!
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.

Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa Anglican duniani pale Uingereza
Kadhalika amesali kwa TB Joshua kwa muda mrefu na sasa huwa anaenda Israel mara kwa mara na juxikati alikuwa huko na Mwalimu Mwakasege

Source TBC
 
Najiuliza hivi jamaa angedanja ,si ilikua murder case...That was attempted murder jamaa alikusudia kuua
Kwa nchi za wenzetu ugombea wake ungekua umeishia pale. Hata angeponyoka swala hilo lingemwandama sana, ikiwamo na juhudi za kunguliwa kesi upya.
 
Nihame niende wapi Mimi Jamani nitabaki hapa hapa bongo hii daaah😅😅😅😅😅
IMG_20210830_203748.jpg
 
Back
Top Bottom