Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,708
2,000
Kesi mpya au kesi ni ileile lakini anasomewa mashitaka mapya?

Kesi mpya, kwamba Jamhuri imesajili kesi nyingine?
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
50,077
2,000
Aliye Kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anakabiliwa na kesi Mpya ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi mpya inayo mkabili na wenzake Sita.
Afungwe haraka huyo jangili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom