Pitia awamu zote tano za urais, kwanini akitoka mpole anakuja mkali, Na mkali anakuja mpole?

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
Kabla ya kuhamaki juu ya Uzi huu, kwanza salaam zenu,

Moja ya mambo au masuala nayojiuliza kila kukicha ni dhana ya hekima iliyopitiliza ya viongozi wanaoitwa wapole , Tanzania bara,

Mifano dhahiri inajiweka wazi kwamba viongozi katika taasisi mbali mbali hapa Tanzania hasa wanaotokana na malezi thabiti ya kidini wanaongoza kwa hekima kubwa mno,

Hekima hiyo muda mwingine huwafanya wawe Na kigugumizi katika kufanya baadhi ya maamuzi magumu,

Turejee mifano Yetu,
1. Suala la Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar mwaka 1964 ,yawezekana Mzee karume alikuwa Na ya moyoni ya kusema lakin kutokana Na malezi ya dini Na hekima Aliyokuwa nayo akashindwa kumkatalia Nyerere baadhi ya Mambo akakaa kimya, lakin kwasasa tunahisi angesema walau Jambo,

2. Mfano wa pili huu ndo mfano muhim sana, tuangalie viongozi ambao tumewahi pata Tanzania hasa katika ngazi ya juu kabisa urais,
AWAMU YA KWANZA
Hapa tulikuwa na mwalimu kambarage Nyerere ambaye aliongoza Tanzania kwa miaka takriba 23 akiwa Rais, maamuzi mbali mbali Na kukemea mambo ya uovu Na kusimamia misingi ya Sheria tulimuona Na tunakumbuka kazi Zake , hakucheka ambapo Hakuna mzaha, Na hakununa ambapo Hakuna sababu, machapisho kadhaa yaliwahi kumuandika kama dikteta lakin haikuwa hivyo ,

Tutamkumbuka kwa kusimamia Sheria, umoja wa kitaifa Na kuwashughulikia wanaoonekana kuvuruga aman ya Tanzania,

AWAMU YA PILI
Mzee alhasan Mwinyi, Rais mpole mwenye hekima Na Busara, lakin upole wake unaweza kuwa uliumiza taifa kwa namna Moja Ama nyingine, " Rais mwinyi udhaifu wake ni mpole mno , nilijaribu kuwaletea Rais mpole ili angalau nafasi ya urais mtu asiogopwe awe social, " alisema Nyerere kwenye mahojiano,

AWAMU YA TATU
hapa akaja Mr clean Benjamin Mkapa, huyu Tusi ume ume maneno ni Rais mwenye hulka kama za Nyerere, ambaye Alikuwa mkali sana , hadi sasa hivi kastaafu lakin bado wanamuogopa Na Hana mchezo katika masuala muhim, Na pia alidhaniwa MTU wa kuogopwa sana Na wazembe, Na hakuna asiyeelewa hivi,

AWAMU YA NNE
hakuna asiyejua kuwa awamu ya NNE kila mmoja alijiona ni Rais kutokana Na upole wa Mr jakaya ,operation za kila siku, majina ya kila aina kaitwa, watu wamejitwalia Mali wanavyotaka kwa uongozi wake, si kwamba alitaka wachukue, la hasha Ila hekima Na Busara za dini ya kiislamu zilimzuia kuwakalipia watu wazima hadharan Jambo ambalo si misingi ya dini,,.
Nayeye alithibitisha ilo kuwa " mnasema Mimi mpole naleta chuma iki," akimaanisha magufuli,

AWAMU YA TANO,

awamu ya tano ndo imefunga wapinzani wengi gerezani kwa muda mufupi kuliko awamu yeyote Ile,
Kwa mwaka mmoja rate ya kesi Na wabunge wa Upinzani pamoja Na za uchochezi ni kubwa sana kuliko awamu zilizopita,
Nje ya hayo mheshimiwa anasimamia Sheria ilasavyo, Na kuwa wakweli NI MKALI MNOO,

hii inanipa maswali,
Awamu ya 1 mkali
Awamu ya 2 mpole
Awamu ya 3 mkali
Awamu ya 4 mpole
Awamu ya 5 mkali mno,,

Tafakari je upole wa wanasiasa baadhi utakana Na malezi mema ha nyumban Na kidini, au ni udhaifu

Pili ukali uliopitiliza nao ni kutokana Na kusimamia Sheria kama maandiko yanavyosema?
Lakin usipofuatwa vema inaleta hulka ya u imla?

ALAFU IMEKAA VEMA NI RAHIS KUTABIRI RAIS AJAYE MAANA VIGEZO LAZIMA AWE MUISLAMU ALAFU LAZIMA AWE MPOLE, HAIJAANDIKWA POPOTE ,LAKIN NI HIVYO,
NAMUONA HUSSEIN MWINYI IKULU. 2025-2035

Pitia hapa chini

Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma

Samuel
 
Sidhani kama ni kweli...Mzee Mwinyi aliongoza nchi kwa busara ya hali ya juu...na kama angekuwa hana busara basi Mwl Nyerere angekuwa Ukonga na hakuna ambaye angebisha kwa zile speech za Mwl.
Kwani Ana kiwanja ukonga?
 
hujamalizia hapo, sema kwanini Maraisi wakristu wanakuwa wakali sana, mimi mkristu nilishakutana mzee mmoja ustadhi kwenye daladala, alidriki kusema eti wakrito wana roho mbaya sana, "unaona wanavyotutesa" alirejea maraisi wote waliopita kama ambavyo umeelezea.
 
Sina hakika
 
Back
Top Bottom