Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,709
F87A0140-2.jpg

Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
 
372AB5D9-C773-49DD-98E5-28B2D0B6757A.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Apumzike miaka mi4 inamtosha sana...kwanza dini hairuhusu mwanamke kuongoza..pili viatu havimtoshi..kazi hawezi ameiga za mwenda zake ndio mana kutwa kusema kazi iendelee..hana ubunifu serikali kutwa kuongeza kodi wakijinasibu kutatua kero huku wakienda kukopa pesa ili kutatubkero zile zile walizosema zitatatuliwa kwa tozo...kiufupi ampumzike.

#MaendeleoHayanaChama
 
1. Ningempongeza kwa kusikiliza kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma angalau kuanza kushughulikia madaraja yao.
2. Aheshimu kura za watanzania, aheshimu demokrasia. Pengine kauli yake ya hata mkipiga kula yenu kwingine chama changu kitaunda serikali ni ya kifedhuli alitakiwa kuomba radhi!
Ahsante
 
Ningemwomba hela
 
Ningemshauri aachane na ubambikaji wa kesi kwa watu wasio na HATIA, na pia aache kusema kuwa yeye ni mzanzibari bali mtanzania.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
F87A0140-2.jpg

Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
Nitamahuruku kwa kufanya mambo yanaenda kitaani ila nitamshauri akomeshe utitiri wa taasisi za kudai Kodi na tozo.Tuwe na window au mkeka mmja tulipie hapo tuendelee na maisha.

Sio Kama sasa unazunguka Mji mzima kulipia kitu fulani kwenye mataasisi rundo kila mmja anakuzungusha na ana gharama zake inakuwa sio sawa .
 
F87A0140-2.jpg

Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
1. Aache kuchukia na kuwatengua wasukuma & kanda ya ziwa

2. Mwaka 2025 akae pembeni awachie watanganyika nchi yao
 
1. Ningempongeza kwa kusikiliza kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma angalau kuanza kushughulikia madaraja yao.
2. Aheshimu kura za watanzania, aheshimu demokrasia. Pengine kauli yake ya hata mkipiga kula yenu kwingine chama changu kitaunda serikali ni ya kifedhuli alitakiwa kuomba radhi!
Ahsante
Yeye anaweza kuheshimu kura za wananchi,je,chama chake kitaweza hilo?
 
F87A0140-2.jpg

Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
Ningemshauri apitishe Katiba ya warioba
 
Apumzike miaka mi4 inamtosha sana...kwanza dini hairuhusu mwanamke kuongoza..pili viatu havimtoshi..kazi hawezi ameiga za mwenda zake ndio mana kutwa kusema kazi iendelee..hana ubunifu serikali kutwa kuongeza kodi wakijinasibu kutatua kero huku wakienda kukopa pesa ili kutatubkero zile zile walizosema zitatatuliwa kwa tozo...kiufupi ampumzike.

#MaendeleoHayanaChama
Yupo sanaaa hadi 2030
 
Kupata passport kurahisishwe Kama nchi nyingine kitambulisho Cha uraia kitoshe mambo ya kudai barua sijui ya mwaliko sijui uthibitisho wa safari yaachiwe ofisi za ubalozi mtu anakoenda kuomba Visa

Hilo litarahisisha vijana wengi kwenda kusaka fursa nje

Pili PayPal yaani njia ya kupokea malipo kwa mauzo ya bidhaa au huduma mitandaoni iruhusiwe Tanzania.Sasa hivi tunaruhusiwa kulipa tu sio kupokea pesa kupitia paypal .Hatuwezi tu kuwa walipaji na si wapokeaji kupitia PayPal
Hii itafungua fursa kwa vijana wengi kujiajiri kwa kazi za mitandaoni na kujipatia pesa .Hili swala la Passport na PayPal tumeongea sana humu jamii forms lakini hayapatiwi ufumbuzi
 
Back
Top Bottom