YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Raisi Samia akisema kuwa katatua Kero 11 za muungano zilizokuwa zinasumbua. Hakuzitaja zote 11 na hakueleza kilichokuwa kinasumbua hizo Kero hasa ni Nini kwa undani na kilichotatuluwa hasa ni Nini .
Wananchi ni vizuri tukaelezwa sababu huu muungano ni wetu wananchi
Kwa faida ya wananchi anayejua hizo Kero 11 kabla zilikuwaje na kilichotatuliwa hasa ni Nini atueleze kwa undani sababu hotuba yake haikuingia kwa undani wakati ni Jambo nyeti lililotakiwa liwemo kwa undani kwenye hotuba .
Anayejua atusaidie kwenye hili