Serikali turekebisiheni Sheria ya Usajili wa Blogs vijana tujiajiri

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,113
4,793
Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini,

Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni moja.

Hii yote ni juhudi ya serikali kuhakikisha vijana tunakufa maskini, naomba serikali ituonee huruma basi tufanyieeni sisi ambao ndio tunaanza kumiliki blogi hata iwe ada elfu thelasini kwa mwaka.

Au basi kama ishu ni kukontroo maudhui basi usajili uwe bure, tafadhali tunawaomba ivi hali ni mvaya vijana tunataka kujikomboa lakini sera za serikali zinaturudisha kwenye umasikini na utegemezi

Tusaidieni jamani vijana tutakimbilia wapi sasa😥
 
wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini,

mimi ninataka kifungua blog ya kiwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni moja...
Serikali yenu haipendi mjinasue kutoka kwenye ufukara.

YouTube sio yao, lakini ukitaka kuwa na YouTube channel yako wanakwambia ulipie millioni moja na ushee.

Kazi huna, wala mtaji huna, hiyo milioni utaipataje?

Halafu YouTube sio yao, kwanini watuchaji hela kwa kitu ambacho hawaja invest hata shilingi mia?
 
YouTube sio yao, lakini ukitaka kuwa na YouTube channel yako wanakwambia ulipie millioni moj na ushee
gharama ni kubwa sana kupita kiasi chetu halisi sasa imagine nimemaliza chuo leo mimi kama journalist

ajira hakuna nikitaka kujiajiri kwa kuanzisha blogs wanataka nilipe milioni moja

serikali inatutengenezea mazingira yavkuwa masikini
 
Hii ni serikali kandamizi. Tatizo ni nyie vijana mnaojidai wasomi ndio wapiga kura wake wakubwa mkidhani mtapata nafasi za uteuzi
 
Hata wakipiga kura kwingine CCM ndio inayoenda kuunda serikali !
20210920_083945.jpg
 
wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini,

mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni moja.

hii yote ni juhudi ya serikali kuhakikisha vijana tunakufa maskini, naomba serikali ituonee huruma basi tufanyieeni sisi ambao ndio tunaanza kumiliki blogi hata iwe ada elfu thelasini kwa mwaka.

au basi kama ishu ni kukontroo maudhui basi usajili uwe bure, tafadhali tunawaomba ivi hali ni mvaya vijana tunataka kujikomboa lakini sera za serikali zinaturudisha kwenye umasikini na utegemezi

tusaidieni jamani vijana tutakimbilia wapi sasa
Hiyo sheria ilianzishwa enzi za Jiwe ili kufuta kabisa vyombo vya habari vya mitandaoni maana ni wachache sana wangeweza kumudu kulipa hiyo pesa
 
Nadhani hiyo kanuni imefutwa kipindi cha mwisho cha Mj Ndungulile
 
Serikali yenu haipendi mjinasue kutoka kwenye ufukara.

YouTube sio yao, lakini ukitaka kuwa na YouTube channel yako wanakwambia ulipie millioni moja na ushee.

Kazi huna, wala mtaji huna, hiyo milioni utaipataje?

Halafu YouTube sio yao, kwanini watuchaji hela kwa kitu ambacho hawaja invest hata shilingi mia?
Tabu tupu, tatizo blog nyingi ni za wadangaji
 
Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini,

Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni moja.

Hii yote ni juhudi ya serikali kuhakikisha vijana tunakufa maskini, naomba serikali ituonee huruma basi tufanyieeni sisi ambao ndio tunaanza kumiliki blogi hata iwe ada elfu thelasini kwa mwaka.

Au basi kama ishu ni kukontroo maudhui basi usajili uwe bure, tafadhali tunawaomba ivi hali ni mvaya vijana tunataka kujikomboa lakini sera za serikali zinaturudisha kwenye umasikini na utegemezi

Tusaidieni jamani vijana tutakimbilia wapi sasa😥
Welcome! We can assist you in:

- Web design

- Logo design

- Online business/company registration

- Airline and Bus ticketing (Domestic & International)

- Passport and Visa Registration

- Studying abroad programs

- Online imports & export services

- And other IT related services
 
Serikali yenu haipendi mjinasue kutoka kwenye ufukara.

YouTube sio yao, lakini ukitaka kuwa na YouTube channel yako wanakwambia ulipie millioni moja na ushee.

Kazi huna, wala mtaji huna, hiyo milioni utaipataje?

Halafu YouTube sio yao, kwanini watuchaji hela kwa kitu ambacho hawaja invest hata shilingi mia?
Kwan nikifungua channel yangu ya YouTube nani atanifuata na kuniletea misotojo?!

Wao wananipa vibali wapi labda kwa mfano? '!
 
Serikali yenu haipendi mjinasue kutoka kwenye ufukara.

YouTube sio yao, lakini ukitaka kuwa na YouTube channel yako wanakwambia ulipie millioni moja na ushee.

Kazi huna, wala mtaji huna, hiyo milioni utaipataje?

Halafu YouTube sio yao, kwanini watuchaji hela kwa kitu ambacho hawaja invest hata shilingi mia?
MBONA nikimsikia waziri Bashungwa alisema Sasa Hivi YouTube channel zinazopaswa kulipiwa ni zile zenye maudhui ya habari tu. Ie global, millardayo kama hizo. Hizi nyingine ni free ( I stand to be corrected)
 
So kweli, ingia kwenye website ya TCRA ujionee mwenyewe.
Juzi tu nimetoka kusajili huko nimelipa 600'000.
 
Back
Top Bottom