Msaada tafadhali: Sijui kwanini naamini nchi yetu haina Rais

Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
Endelea kuteseka. Unalipa kejeli na dhihaka ulizokuwa unaonesha kwa wahanga wa ugaidi wa Jiwe.
 
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
We msukuma unachotakiwa kufanya ni kuelekea uko ambapo huyo rais ameelekea akakuongoze uko uko..
 
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
Acha ujinga wa kuamini visivyowezekana. Magufuli hatarudi na rais aliyepo ataendelea kuwa rais hata kama huamini au hupendi. Wakati mwingine tunajitengenezea mazingira ya ugonjwa wa moyo. SHH ni rais wetu hata kama humpendi.
 
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?

Gwajima ndiyo wale wanaamini kufufua watu 😂
 
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
Wakati wenzako wamesha move on. Wewe endelea kuweweseka, hizo imani zako sijui moyo wako hazitasaidia hii nchi.
 
Watanzania hasa wa Tanganyika tumepata hasara tena kubwa. Huyu mama ni kimeo.

Mwaka 2025 hatuchagui Mzanzibari wala mwanamke.
Unless ww n kiongozi mkubwa serikalini, au top official ccm maybe. Lakin sasa ww ni mwananchi wa kawaida ambae kura yako moja doesnt matter sana.
Na kwa tume hii, NEC watakushangaza, ccm watakushangaza.

Sisemi kama mazuri ila kwa mfumo uliopo anarudi tena. With or without kura yako
 
Inawezekana uko sahihi.
Mama Samia hakuwa na hata Noto ya kuamka siku moja kuwa Raisi., Kwa hiyo inamuwiavigumu ku cope nakwa vile hakuwa na mkakati binafsi ,anajaribu kujijengea uwezo, na plan ya kuendesha nchi.
Mpungufu yote tunayo yaona ni kwa sababu hiyo.
Hata hivyo anafanya vizuri tuu Anajitahidi sana kurekebisha kila anapowenda kombo, na tuna muelewa .Mzigo alioubeba si mwepesi kama unavyo dhania. Sasa yeye anaongoza nchi huku akijaribu kujenga mkakati ,si hoja kumuona anabadili gia angani, na wakati mwingine hata kurudi revasi ili kuweka mambo sawa.

Ondoa Hofu Katiba mpya Ipo inakuja, na Mbowe atatolewa tuu pale usanii utapomalizika.
Hii ni nafasi ya kumuacha Mama avute Pumzi wakati munapambana na Kesi mahakamani. Bila ya hivyo mungelimchanganya ,mama wa watu ,uraisi wenyewe wa kudapia njiani si wa kujipanga.
Pole sana
 
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
Kwa hisia na mtazamo wako ni haki kusema hivyo kwa kile ambacho unakiona kinaendelea nchini,kwan hadi sasa kuna watzania zaidi ya % 50 ktik maeneo tofauti tofauti wamejikatia tamaa juu ya uwongozi ulioko madarak hususani ukilinganisha na awamu zilizopita
 
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
Fanya utakavyoona ni sahihi

Hakuna anaejali imani yako kuhusu Mh Rais wetu
 
Back
Top Bottom