Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.
Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.
Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.
Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.
Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka