Namongeza Rais Samia kwa kuomboleza kifo cha Mwalimu kupitia Magufuli

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa.
Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote waliofuatia.

RiP Mwal. Julius Kambarage Nyerere

RiP Rais Benjamin Willium Mkapa

RiP Jembe Rais John Pombe Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
😍
 
Huyo mungu wenu mnavyomnyenyekea, utadhani atafufuka,,Samia anajua kucheza na akili zenu nyie mazombi
 
Kumbe leo ndio ilikua Jiwe Day??

Nilikua na miezi mingi sijaisikia Chato kabisa ! Very likely ni Gbadolite ya siku zijazo
 
Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa.
Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote waliofuatia.

RiP Mwal. Julius Kambarage Nyerere

RiP Rais Benjamin Willium Mkapa

RiP Jembe Rais John Pombe Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Watoto wetu wamechanganyikiwa hawaelewi wanaadhimisha kifo cha Nyerere au kilaza Jiwe!
 
Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa.
Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote waliofuatia.

RiP Mwal. Julius Kambarage Nyerere

RiP Rais Benjamin Willium Mkapa

RiP Jembe Rais John Pombe Magufuli

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Siku zote Mpuuzi humuelewa upesi sana Mpuuzi Nwenzake.
 
Back
Top Bottom