Asalam!
Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema.
Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji.
Tatu, nirejee kwenye utekelezaji wa mrado wa Sasa wa Ujenzi wa Madarasa. Halmashauri nyingi zilipoteza Wahandisi wa ujenzi ilipoanzishwa TARURA. Wengi walihamishwa kutoka mamlaka za serikali za mitaa kupelekwa TARURA. Na baada ya happy hakuna ajira zilizojaza nafasi hizo.
Ombi langu, patolewe kibali maalumu TARURA iachie Wahandisi hawa wazoefu katika maeneo husika katika wakati huu muhimu wa ukamilishaji wa mradi huu.
Mwisho nashauri mradi Upewe jina. Ni mradi mkubwa mno. Tuliona MMEM, MMES, etc