Halima Mdee ameondoka na Bawacha, Katambi aliondoka na Bavicha na sasa Chadema inasuasua!

Chadema ilishakufa, ni Basi tu wanakazana kama ma Zombie 😂😂😂
Hao ndio walikuwa wanang'ang'ania Nchi, wangechukua nchi ingekuaje?
Kama kifo chadema hakijafa kwa natural death Bali assassinated kwa makusudi yenye kutumia nguvu kubwa.

Nadhani kwakua wajuvi jikoni walishaona kifo cha chama dume ikaona ihakikishe kwa mbinu zoote haramu chadema ifutike kwakua hakiwezi shindana nacho.
 
Kama Chadema ni dhaifu hivyo kwanini Mbowe yuko jela mwezi wa tatu huu kwa kesi ya kutunga?

Kama Chadema ni dhaifu hivyo kwanini Bawacha kila wakifanya jogging mnatetemeka?

Kama Chadema ni dhaifu kwanini mnachoma ofisi zao kila siku?

Kama Chadema ni dhaifu kwanini mnaisema sema huko lumumba kila dakika?
 
Chadema ilikuwa ya Dr Slaa.

Hii iliyomfanya Gwajima kuwa mshenga wa kumleta EL chadema na baadae tena ikamfanya Amsterdam kuwa mwanamikakati wa kumpeleka Lisu Ikulu ni uharo mtupu.
 
Jogging lazima uwe na kibali
 
Mbona mnajidhalilisha, kumbe mnawachukua hao ili upinzani ufe? Dua la kuku.
 
Chadema ilikuwa ya Dr Slaa.

Hii iliyomfanya Gwajima kuwa mshenga wa kumleta EL chadema na baadae tena ikamfanya Amsterdam kuwa mwanamikakati wa kumpeleka Lisu Ikulu ni uharo mtupu.
Tanzania ilikua ya Mwendazake iliyopinga na kuikana Covid. Hii ya Chifu Hangaya ya kupokea Johnson Johnson wakati sisi ni donor country ni kichekezho.
 
Kiukweli udhaifu wa CHADEMA ulianzia pale Balozi Wilbroad Slaa alipoamua kuachana na siasa za majukwaani.

Baadae Patrobas Katambi akaidhoofisha Bavicha kwa kuhamia chama dume CCM.

Halima James Mdee akapigilia msumari wa mwisho kwa kusepa na kijiji kizima cha Bawacha.

Mungu ibariki CHADEMA!
Leo ndoto zako zimekuelekezea huko sio? Endeleaa kuota
 
Back
Top Bottom