Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwendo wa kupanga na kupangau hii tabia imefika huku vyuoni ikiendelea italeta vurugu siku za mbeleni. USSR
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
Maana ya uzinduzi ni pale mradi unapoanza au pale ulipokamilika. Ni aibu Rais kufunga safari kwenda kufanya uzinduzi wa maji ya bilioni 17 Longido halafu unasema kufikia Januari 2022 mtapata...
2 Reactions
4 Replies
784 Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwapatia fedha Tsh. 420,000,000/= za mpango wa...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija...
45 Reactions
308 Replies
20K Views
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili. Source: Star Tv (habari saa 2)
8 Reactions
86 Replies
11K Views
Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono? Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na...
23 Reactions
131 Replies
7K Views
Kazi inaendelea ujenzi wa madarasa 15,000 nchi nzima unaendelea, leo mkoa wa Iringa wamepokea fedha kwa ajili ya ujenzi huo. Haya ni matokeo ya kazi na usimamizi mzuri wa makusanyo ya Kodi za...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi. Wameweka bango...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mada Fikirishi Katiba yetu inaongelea kifo cha Rais akiwa madarakani lakini haiongelei Mgombea Urais ambaye tayari ni Rais akifa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Natoa mfano ili uelewe kwa...
5 Reactions
91 Replies
5K Views
Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakati wa awamu ya 5, ile awamu ya mwendazake, kulikuwa na kampeni ya wazi kabisa ya kuhakikisha kila mfanyakazi wa Serikali ya Tanzania anatumia simu ya mkononi ya TTCL, baadhi ya wafanyakazi...
13 Reactions
50 Replies
46K Views
DC JOKATE ATIMIZA AHADI KWA WAFANYABIASHARA MAKANGARAWE Leo Oktoba 20,2021 Mkuu wa wilaya wa Temeke kupitia mwakilishi wake kaimu Afisa Tarafa Mbagala Bi. Theodora Malata ametembelea soko la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika kwenye viunga vya Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi Mjini Dar es Salaam. Wito wangu kwa Wanachama wa Chadema ni kuwa watulivu...
33 Reactions
191 Replies
13K Views
Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati wa utawala wa awamu ya 5, chini ya utawala wa hayati John Magufuli, tafsiri ya kuwa mpinzani ilibadilishwa na kuwa ni adui wa maendeleo, badala ya tafsiri sahihi kuwa wapinzani ni wadau wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Kwema? Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa. Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu...
7 Reactions
225 Replies
36K Views
Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom