The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
22.Mafundi simu wote
23.mafundi ujenzi wote
24 .wenye nyumba za kupangisha
25.wauza vyakula
26.mafundi gereji
27.kumbi za mziki na Harusi
28.ma MC wa harusi
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
22.Mafundi simu wote
23.mafundi ujenzi wote
24 .wenye nyumba za kupangisha
25.wauza vyakula
26.mafundi gereji
27.kumbi za mziki na Harusi
28.ma MC wa harusi
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....