Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanini hii kitu isipigwe mtama ikashushwa kitu matata hapa ikaonyesha jinsi gani chama lina wafuasi wenye nguvu na mapenzi ya kujitolea kuliko hii aibu miaka nenda!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Asalam-aleikhum Wana-JF Kwanza nawapongeza Rais SSH na viongozi wa Serikali ya CCM, hasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala ambaye ameonyesha ujasiri mkubwa na mfano mzuri katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania Kwenu!!!!!! Nimepanda hili swala la serikali kuajiri walimu 10,000 kabla ya December 2021 Kilichonifurahisha ni kuchukuliwa kwa 20% ya walimu wote kutoka katika maeneo waliyopo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu, Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya. Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk...
17 Reactions
97 Replies
8K Views
MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE. Anaandika, Robert Heriel Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate...
17 Reactions
77 Replies
9K Views
Moja ya haki za msingi ambazo kila mtanzania amepewa na katiba ni kumiliki mali pamoja na ardhi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Moja ya haki nyingine ya msingi ni kugombea kuchaguliwa...
1 Reactions
0 Replies
585 Views
Wakuu: ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake. ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai! ✓Ifike mahali tukubaliane vile vile...
11 Reactions
71 Replies
6K Views
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT. Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye...
8 Reactions
75 Replies
7K Views
Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya. Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napenda kupongeza serikali kwa maamuzi waliyoanza kuyafanya ya kuwaondoa Machinga katika maeneo ambayo hawatakiwi kuwepo Mf Barabarani na kwenye maeneno ya miji yenye shughuli za...
10 Reactions
164 Replies
11K Views
Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania. Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya...
26 Reactions
137 Replies
12K Views
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;- 1. Dkt. Kalemani 2. Msukuma 3. Prof...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi" Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom