Albert Chalamila: Mimi ni mwanasiasa nisiyeendekeza njaa, nina degree za kutosha hivyo siyumbishwi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,977
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate diploma na Masters za kutosha hivyo hana njaa.

Chalamila amesema viongozi wengi wakiteuliwa wanaendekeza wizi wa mali za umma ili wasistaafu wakiwa maskini lakini yeye hakuwa mmoja wao kwa sababu elimu yake ni mtaji.

Chalamila amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na wasiendekeze makundi, ndio maana hata yeye alipokuwa RC wa Mbeya aliwachapa viboko wanafunzi waliochoma mabweni

Jumaa kareem!
 
Kwanza wanabodi waombe msamaha kwa kumwita Chalamila ni RC msitafu,sema RC wa zamani wapi alikwambia amesitafu?
Pia Kama hana njaa mbona bado anapiga kelele? Ulimuona wapi Mwanri Agrey akipiga kelele?
 
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate diploma na Masters za kutosha hivyo hana njaa.

Chalamila amesema viongozi wengi wakiteuliwa wanaendekeza wizi wa mali za umma ili wasistaafu wakiwa maskini lakini yeye hakuwa mmoja wao kwa sababu elimu yake ni mtaji.

Chalamila amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na wasiendekeze makundi, ndio maana hata yeye alipokuwa RC wa Mbeya aliwachapa viboko wanafunzi waliochoma mabweni

Jumaa kareem!
Ana masters nyingi japo sijui ni ngapi lakini hajaelimika. Anahitaji kurudi shule akasome na kuelimika. Mbona alipoteuliwa ukuu wa mkoa hakusema hana njaa hivyo wawape wenye njaa. Chalamila acha sizitaki mbichi hizi
 
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate diploma na Masters za kutosha hivyo hana njaa.

Chalamila amesema viongozi wengi wakiteuliwa wanaendekeza wizi wa mali za umma ili wasistaafu wakiwa maskini lakini yeye hakuwa mmoja wao kwa sababu elimu yake ni mtaji.

Chalamila amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na wasiendekeze makundi, ndio maana hata yeye alipokuwa RC wa Mbeya aliwachapa viboko wanafunzi waliochoma mabweni

Jumaa kareem!
Hii takataka iliiba sana ikawa inafanya Mradi wa Kujenga Manyumba Iringa.
Ikaishia kufuga Kuku tu
 
Back
Top Bottom