Kama wewe ni kamanda na una mapenzi ya kweli na chama kwanini msionyeshe umoja

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
10,169
2,000
Kwanini hii kitu isipigwe mtama ikashushwa kitu matata hapa ikaonyesha jinsi gani chama lina wafuasi wenye nguvu na mapenzi ya kujitolea kuliko hii aibu miaka nenda!
IMG_20211012_062851.jpg
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,364
2,000
Uvumilivu wa CHADEMA unawtesa waovu wa nchi hii.

Mnatamani muone CHADEMA wana-react vibaya ili pamoja na mambo mengine, hoja yenu ya ugaidi ipate nguvu.

Mna madaraka; tuna akili na maarifa kuwazidi na ndio maana hamtuwezi.

Sasa mmehamia kwenye majengo ya chama wakati nyinyi miaka 60 ya uhuru matundu ya choo kwenye shule zetu yanawashinda mpaka msaidiwe na mabeberu.
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,164
2,000
Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia uhuru wa mahakama kenge nyinyi.
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
10,169
2,000
Uvumilivu wa CHADEMA unawtesa waovu wa nchi hii.

Mnatamani muone CHADEMA wana-react vibaya ili pamoja na mambo mengine, hoja yenu ya ugaidi ipate nguvu.

Mna madaraka; tuna akili na maarifa kuwazidi na ndio maana hamtuwezi.

Sasa mmehamia kwenye majengo ya chama wakati nyinyi miaka 60 ya uhuru matundu ya choo kwenye shule zetu yanawashinda mpaka msaidiwe na mabeberu.
Vice-chairman anaishi kwa mabeberu kwa nini asisaidiwe kuondoa hiyo kadhia hapo!
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
10,169
2,000
Hahahha pamoja na ruzuku zote makao makuu ndo hapo kwenye nyumba ya Mtei walipozaliwa kina Liliane.
Nguvu inayotumika kutuaminisha ni chama kikuu cha upinzani chenye nguvu nje na ndani hata USA walibeba mabango basi hata ghorofa moja wajenge!
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,435
2,000
Kila nikiangalia hii kitu wanachama wenye nguvu walivyojitolea najua makamanda nao hawashindwi! View attachment 1981055
Una akili ya kitoto sana, chama kilichopo madarakani ambapo kinachukua pesa za kodi kitakavyo bila kuhojiwa unataka kulinganisha na chama cha upinzani ambacho mmeiba kura zote so hawana mbunge hata mmoja anayeeleweka na kila siku mnataka kukiua lakini mnakufa nyie (ref Mwendakuzimu).
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
10,169
2,000
Una akili ya kitoto sana, chama kilichopo madarakani ambapo kinachukua pesa za kodi kitakavyo bila kuhojiwa unataka kulinganisha na chama cha upinzani ambacho mmeiba kura zote so hawana mbunge hata mmoja anayeeleweka na kila siku mnataka kukiua lakini mnakufa nyie (ref Mwendakuzimu).
Ndio maana nimeandika kama makamanda wanapata ruzuku na kujenga maofisi kila kanda basi wajitolee ila kwa wale wenye mapenzi ya kweli sio hawa wanafiki na bendera fuata upepo waliojaa mitandaoni wana hela ya bundle tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom